Tuko kasi: Kutoka mwenezi, katibu, mbunge, balozi, mwanaharakati mafichoni, now mtekwaji

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
40,153
Reaction score
93,069
Hamjambo!

Leo nipo kwenye kioo najitazama kweli dunia iko kasi. Leo mimi wakuitwa Babu. Kweli! Ni juzi tuu hapa nimezaliwa. Juzi tuu. Mambo yameenda prepre pre!

Je Polepole atabageini ama atafika bei baada ya kichapo cha kumfunza adabu. Au ataamua kufa na kipande cha mfupa kooni?

Linda nchi yako.
Penda nchi yako!
 
Umesahau mkuu wa wilaya
 
Muhimu amefanya kile nafsi yake na dhamira yake imemuaminisha kuwa ni sahihi bila kuvunda sheria za nchi ukweli utabaki vilevile polepole ni mzalendo haswa sio wa mchongo.
 
Punguzeni hii
Mnawapa promo watekaji

Fanyeni kama halipo but lipo
Waliopitia JKT wanaelewa
 
Polepole ni mzalendo na kapambana.

Nafikiri hiyo mizee imemsaliti
 
Anayewaamini nyie watabiri sijui manini apimwe akili
 
Muhimu amefanya kile nafsi yake na dhamira yake imemuaminisha kuwa ni sahihi bila kuvunda sheria za nchi ukweli utabaki vilevile polepole ni mzalendo haswa sio wa mchongo.

Kwenye vita yoyote, muhimu ni ushindi.
Mshindi ndio anaandika historia.
Kusema hata kama unahaki ikatokea umepigwa ukashindwa historia itaandikwa wewe ndiye ulikuwa mbaya
 
Anayewaamini nyie watabiri sijui manini apimwe akili
Hakuna wanalo jua ila ni wana enda na upepo
 
Back
Top Bottom