Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
- #41
Huna jipya unazidi kupoteza mvuto..
Napoteza mvuto kwani lini nilikuwa mumeo au mume wa Mamaako?
Lini nilikuvutia?
Huna jipya unazidi kupoteza mvuto..
Nasemaje nasemaje huna mvuto teeenaNapoteza mvuto kwani lini nilikuwa mumeo au mume wa Mamaako?
Lini nilikuvutia?
Nasemaje nasemaje huna mvuto teeena
Huna jipyaSijawahi kumvutia mtu kama wewe. Ni shobo zako tuu
Huna jipya
Hivi Wahuni wamepania kabisa kuwamaliza wakosoaji wote nchini kwa kuwafunga, kuwateka, kuwapoteza na kwa kuwaua!! Hii mbona haijakaa sawa hata kidogo.
Vp unakumbuka September 7 na nyuzi zako za Watibeli mbona hautupi mrejesho ?Nilikuwa nakula Fungate mkuu.
Mbali na JF ni mateso makubwa
Ni suala la MdaUzuri ni kwamba kwenye siasa kila mtu ana siku yake.
Samia, Jakaya, Mwinyi wote siku zao zinakuja kama ilivyo leo kwa Polepole.
Itategemea sana uliishije na watu ambao aidha watakufuata au kukuuza kwa adui.
Huyu nanga na thread zake za kijinga jinga akidhani eti ni mchambuzi mashuhuri amerudi tena?Ulipotea Mtibeli.
Jamaa alitatafuta aibu ya kujitakia na kujishushia credit 😁 , halafu akaandika na nyuzi kibao zaidi ya 5 kuhusu September 7.Alisema lissu lazima aachiliww kabla ya tarehe 7 September, asipoachiliwa watibeli watafanya jambo kubwa😅
Haka kajamaa aisee ni kanjanja sana
Tunasubiri amri ya capt. TeshaBado mnapanga kuandamana October 29🫠?
Hawa ni wale wapenda sifa, huwa wanajifanya wanajua ya mbele wakati si kweli. Hapo ingetokea kweli Lissu akaachiwa kabla ya hiyo September 7, basi angeleta post nyingi akisema ilikua lazima aachiwe maana watibeli waliona lazima lingetokea jambo kubwa sana😅Jamaa alitatafuta aibu ya kujitakia na kujishushia credit 😁 , halafu akaandika na nyuzi kibao zaidi ya 5 kuhusu September 7.
Pengine aliandika kimafumbo September 7 ya Watibeli akimaanisha jambo lingine, labda ukweni alinyimwa Mke akawa na stress akawapa mikwara kabla ya September 7 apewe mke ndio akaIntergate hyo ishu na swala la Lisu.
Ka jamaa kanataka kujifananisha na britanica😄Hawa ni wale wapenda sifa, huwa wanajifanya wanajua ya mbele wakati si kweli. Hapo ingetokea kweli Lissu akaachiwa kabla ya hiyo September 7, basi angeleta post nyingi akisema ilikua lazima aachiwe maana watibeli waliona lazima lingetokea jambo kubwa sana😅
Wapo watu mbona wanaandika sana humu kuwa lissu anapaswa kuachiwa, serikali iachane na kesi yake. Lakini kujifanya sijui watibeli wameoteshwa sijui wameona jambo ni ukanjanja huu, haya September 7 imepita vipi?😅
We mbuzi nilikumiss😁
Hahaha umenifanya nicheke Kwa Sauti kubwaWe mbuzi nilikumiss😁