Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
- #21
Huoni alama ya kuuliza ama hujala?
Unalouliza ni jibu.
Waandamanaji wapo na watafanya hivyo.
Muhimu ni serikali kuwa na mpango bora kuyafanya yasituletee machafuko na yalete muafaka.
Nguvu zikitumika sana hakutakuwa na rika