Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Ulipotea Mtibeli.
Umesahau mkuu wa wilayaHamjambo!
Leo nipo kwenye kioo najitazama kweli dunia iko kasi. Leo mimi wakuitwa Babu. Kweli! Ni juzi tuu hapa nimezaliwa. Juzi tuu. Mambo yameenda prepre pre!
Je Polepole atabageini ama atafika bei baada ya kichapo cha kumfunza adabu. Au ataamua kufa na kipande cha mfupa kooni?
Linda nchi yako.
Penda nchi yako!
Muhimu amefanya kile nafsi yake na dhamira yake imemuaminisha kuwa ni sahihi bila kuvunda sheria za nchi ukweli utabaki vilevile polepole ni mzalendo haswa sio wa mchongo.Hamjambo!
Leo nipo kwenye kioo najitazama kweli dunia iko kasi. Leo mimi wakuitwa Babu. Kweli! Ni juzi tuu hapa nimezaliwa. Juzi tuu. Mambo yameenda prepre pre!
Je Polepole atabageini ama atafika bei baada ya kichapo cha kumfunza adabu. Au ataamua kufa na kipande cha mfupa kooni?
Linda nchi yako.
Penda nchi yako!
Punguzeni hiiHamjambo!

Umesahau mkuu wa wilaya
Punguzeni hii
Mnawapa promo watekaji
Fanyeni kama halipo but lipo
Waliopitia JKT wanaelewa
Muhimu amefanya kile nafsi yake na dhamira yake imemuaminisha kuwa ni sahihi bila kuvunda sheria za nchi ukweli utabaki vilevile polepole ni mzalendo haswa sio wa mchongo.
Kimya kina mshindo matę!Kukaa kimya ni hatari zaidi. Au kimya kimamshndo
Why not?Bado mnapanga kuandamana October 29🫠?
Bado mnapanga kuandamana October 29🫠?
Mungu azilaze roho zenu mahala panapostahiliWhy not?
Huoni alama ya kuuliza ama hujala?Unauliza jibu au swali?
Hakuna wanalo jua ila ni wana enda na upepoAnayewaamini nyie watabiri sijui manini apimwe akili
Hamjambo!
Kete pekee ambayo imebaki kubadili upepo wa kile kinachoendelea ndani ya taifa hili ni kumtoa Tundu Lissu hasa nyakati hizi ambapo Kampeni za uchaguzi zitakuwa zimepamba moto..
Kumtoa Tundu Lisu Mahabusu kutaipa nguvu Serikali na kuondoa kelele zinazoendelea na matukio mapya yasiyotabirika yanayoendelea ndani ya nchi yetu
Kumtoa Lissu kutampunguza nguvu Tundu Lissu mwenyewe kwani yale matarajio aliyonayo kuhusu kampeni hatayafikia kutokana na kutojipanga lakini pia upatikanaji wa rasilimali pesa utakuwa mgumu kwake
Kumtoa Lissu kwa Samia itakuwa moja ya agenda yake ya Kampeni...
- Robert Heriel Mtibeli
- chadema itakuwa kabla kushiriki lisu septemba serikali siasa siasa za tanzania tanzania tundu tundu lisu
- Replies: 103
- Forum: Jukwaa la Siasa
Alisema lissu lazima aachiliww kabla ya tarehe 7 September, asipoachiliwa watibeli watafanya jambo kubwa😅Hakuna wanalo jua ila ni wana enda na upepo