Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
-
- #21
Huoni alama ya kuuliza ama hujala?
🤣🤣Alisema lissu lazima aachiliww kabla ya tarehe 7 September, asipoachiliwa watibeli watafanya jambo kubwa😅
Haka kajamaa aisee ni kanjanja sana
Sorry ila mbona unauliza swali la kibwege sana?Bado mnapanga kuandamana October 29🫠?
Thread zake na soma kama mashairi ya wasaka tongeAlisema lissu lazima aachiliww kabla ya tarehe 7 September, asipoachiliwa watibeli watafanya jambo kubwa😅
Haka kajamaa aisee ni kanjanja sana
Muulize tarehe 7 September imepita, vipi?
Unaitwa na shemeji yako ukale ugali huko..unajichoreshs😅Unalouliza ni jibu.
Waandamanaji wapo na watafanya hivyo.
Muhimu ni serikali kuwa na mpango bora kuyafanya yasituletee machafuko na yalete muafaka.
Nguvu zikitumika sana hakutakuwa na rika
Unaitwa na shemeji yako ukale ugali huko..unajichoreshs😅
Haka ka jamaa kanachekesha sana ,,hata ukikauliza majibu hakana.. kakishakula vitumbua kakashiba watibeli wanakapanda kichwani 🤣🤣Muulize tarehe 7 September imepita, vipi?
Ingetokea kweli kaachiliwa angekuja na posts kibao kuwa alijua lazima aachiliww na alishaona rohoni kuwa lazima angeachiliwa😅😅
Ndio nimejiunga jana ila nimepitia mabandiko yako nakushauri wachana na mambo ya siasaInaonekana mgeni humu.
Ndio nimejiunga jana ila nimepitia mabandiko yako nakushauri wachana na mambo ya siasa
Mimi sio mwanasiasa
Ukiwa na akili ndogo huwezi kuliona hilo.
Unasema niachane na siasa ukiulizwa mimi chama gani utajibu kitu gani?
Tujadili kama mjadala.
Umetumia vigezo gani kusema niachane na siasa?
September 7 ulisemaje vile🤣🤣Mimi sio mwanasiasa
Ukiwa na akili ndogo huwezi kuliona hilo.
Unasema niachane na siasa ukiulizwa mimi chama gani utajibu kitu gani?
Tujadili kama mjadala.
Umetumia vigezo gani kusema niachane na siasa?
September 7 ulisemaje vile🤣🤣
Huna jipya unazidi kupoteza mvuto..Hiyo ndio imekufanya useme niachane na siasa?