Tuko kasi: Kutoka mwenezi, katibu, mbunge, balozi, mwanaharakati mafichoni, now mtekwaji

 
Uzuri ni kwamba kwenye siasa kila mtu ana siku yake.

Samia, Jakaya, Mwinyi wote siku zao zinakuja kama ilivyo leo kwa Polepole.

Itategemea sana uliishije na watu ambao aidha watakufuata au kukuuza kwa adui.
​
Ipo siku atatokea mtu wa kuwachachafya na wao..! Ni suala la muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…