Tuko salama kiasi gani kwenye mitandao: Msikilize Maxcence Melo, JamiiAfrica CEO

Status
Not open for further replies.
Ndiyo maana miaka ya zamani ilikuwa kama una jambo nyeti unataka kujadiliana na mtu, mnaenda kukutana ana kwa ana kwaajili ya kuongea.

Hii njia ni salama zaidi kuliko kupigiana Whatsapp call ama vinginevyo.

Kumtrack mtu kupitia vifaa vyake vya electronic ni rahisi kuliko miaka ya zamani kabla ya hizi teknolojia

Ndiyo maana kufanya migomo vyuo Vikuu zamani ilikuwa rahisi kuliko kupitisha migomo miaka hii

Kabla hamjakutana, tayari key figures wanakuwa wameshadakwa
 
Kuna haja ya kuwa macho sana kama unataka ku maintain anonymity/usijulikane.
View attachment 3289393
Natamani angezungumzia Jf , napo kuna usalama ama tuende kwa tahadhari.

Usalama mtandaoni ni suala nyeti Sana katika ulimwengu huu wa Sasa wa kidigitali.

Kitu Cha muhimu zaidi cha kuzingatia uwapo mtandaoni ni kwamba Hakuna kitu chochote kile kinaweza kuwa Siri endapo kama umeamua kutumia mawasiliano ya kimtandao. Daima unatakiwa kutambua kwamba kila kitu unachokifanya humu mtandaoni kinaonekana bayana na kila Mtu duniani kote. Hakuna Siri humu mtandaoni.

Siku hizi kuna Programu-endeshi nyingi sana zinatumika katika KAZI za Udukuzi wa Mawasiliano ya Kimtandao (SPYWARES). Mathalani, Software ya PEGASUS, Teknolojia ya WaIsrael imekuwa ikitumika Sana kufuatilia mawasiliano ya Watu humu mtandaoni hapa Tanzania. Watu wasiojulikana wamekuwa wakitumia Spyware hii tangu zamani Sana katika kudukua mawasiliano ya watumiaji wa mitandao.
 
Ndiyo maana miaka ya zamani ilikuwa kama una jambo nyeti unataka kujadiliana na mtu, mnaenda kukutana ana kwa ana kwaajili ya kuongea.

Hii njia ni salama zaidi kuliko kupigiana Whatsapp call ama vinginevyo.

Kumtrack mtu kupitia vifaa vyake vya electronic ni rahisi kuliko miaka ya zamani kabla ya hizi teknolojia

Ndiyo maana kufanya migomo vyuo Vikuu zamani ilikuwa rahisi kuliko kupitisha migomo miaka hii

Kabla hamjakutana, tayari key figures wanakuwa wameshadakwa
Ndiyo maana miaka ya zamani ilikuwa kama una jambo nyeti unataka kujadiliana na mtu, mnaenda kukutana ana kwa ana kwaajili ya kuongea.

Hii njia ni salama zaidi kuliko kupigiana Whatsapp call ama vinginevyo.

Kumtrack mtu kupitia vifaa vyake vya electronic ni rahisi kuliko miaka ya zamani kabla ya hizi teknolojia

Ndiyo maana kufanya migomo vyuo Vikuu zamani ilikuwa rahisi kuliko kupitisha migomo miaka hii

Kabla hamjakutana, tayari key figures wanakuwa wameshadakwa

Siku hizi Tawala nyingi sana hapa duniani zimebadili mbinu za kuweza kufanya Ujasusi dhidi ya Watu wake kutoka kwenye zama za kufanya Ujasusi kwa kuwatumia Watu zaidi, yaani Human Intelligence (HUMINT) na kuingia kwenye zama mpya za kufanya Ujasusi kwa kutumia Teknolojia zaidi, yaani Technical Intelligence (TECHNINT). Teknolojia kwa sasa hivi ndio imechukua nafasi kubwa zaidi ya Matumizi ya binadamu katika kufanya Ujasusi.
Masuala ya DORIA za Kiujasusi au Surveillances Siku hizi yamekuwa yakifanyika kwa njia za Kimtandao kupitia Vifaa vya Kielektroniki vinavyotumia Mawasiliano ya kimtandao kama vile Simu (both Cellphones and Smartphones), tablets, tarakilishi (laptops), na aina zingine za kompyuta ambazo zinatumia Teknolojia za mitandao ya kimawasiliano.
 
Natamani angezungumzia Jf , napo kuna usalama ama tuende kwa tahadhari.

Hata kwenye huu mtandao wa JF nina uhakika kabisa kwamba nako pia siyo salama Kama ambavyo Watu wengi wanavyofikiri.
Kumbuka: Wakati wamiliki wa Mtandao huu walipokuwa wanausajili kule TCRA walikubaliana na masharti fulani fulani hivi ya lazima kwenye mchakato mzima wa usajili wa Mtandao huu.
Kwa uzoefu wangu kutoka kwa wenzetu huko nje, Kwenye Usajili wa hizi Online Platforms au usajili wa Watoa huduma za kimtandao, kuna kitu kinaitwa "Backdoor Technology," hii ni Teknolojia ambayo inawapa nguvu Wasimamizi wa Sheria katika nchi au Mamlaka za Usimamizi na Udhibiti wa Huduma za Kimtandao za kuweza Kuingia kimtandao kwenye Server ya Mtandao wowote ule wa Watoa huduma za kimtandao na kupata taarifa yoyote ile (full details) kuhusu mtandao huo, sambamba na kupata taarifa zote kabisa muhimu kuhusiana na Utambulisho halisi (fully details and the real identities) za Watumiaji waliojisajili kwenye mtandao husika. Wataalamu wa masuala haya ya ICT yaani Ethical Hackers wamekuwa wakifanya kazi hizi.

Kwa kifupi ni kwamba, kwa kupitia Teknolojia hii iitwayo Backdoor Technology, Polisi, Majasusi, Wapelelezi au Watu wa Mamlaka za Usimamizi na Udhibiti wa Huduma za mawasiliano ya kimtandao wanaweza kuingia kwenye server ya Mtandao wowote ule kwa 'kupitia Mlango wa nyuma' bila ridhaa ya Mmiliki wa Mtandao husika.
 
Usalama mtandaoni ni suala nyeti Sana katika ulimwengu huu wa Sasa wa kidigitali.

Kitu Cha muhimu zaidi cha kuzingatia uwapo mtandaoni ni kwamba Hakuna kitu chochote kile kinaweza kuwa Siri endapo kama umeamua kutumia mawasiliano ya kimtandao. Daima unatakiwa kutambua kwamba kila kitu unachokifanya humu mtandaoni kinaonekana bayana na kila Mtu duniani kote. Hakuna Siri humu mtandaoni.

Siku hizi kuna Programu-endeshi nyingi sana zinatumika katika KAZI za Udukuzi wa Mawasiliano ya Kimtandao (SPYWARES). Mathalani, Software ya PEGASUS, Teknolojia ya WaIsrael imekuwa ikitumika Sana kufuatilia mawasiliano ya Watu humu mtandaoni hapa Tanzania. Watu wasiojulikana wamekuwa wakitumia Spyware hii tangu zamani Sana katika kudukua mawasiliano ya watumiaji wa mitandao.
Vipi Hizo Software zimeshindwa kuwakamata wasiojulikana?
 
Modes mmefuta comment angu kwanini? Kumbe ukweli unauma eeeh? Na bado nitaendelea kuwasanua Waja. Mxxxiiiieeeew
 
Kiukwel braza anauelewa wa kipekee kabisa
 
Vipi Hizo Software zimeshindwa kuwakamata wasiojulikana?

Nani amesema kwamba hao 'Watu wasiojulikana' wameshindwa kukamatwa na hizo Software za Spyware?
Hivi unafahamu ni kwa nini hasa miaka kadhaa iliyopita 'Mamlaka' zilikuwa zinawatangazia Watu kwamba wasinunue simu za aina fulani fulani hivi hapa Tanzania? Je, unajua sababu ilikuwa Nini hasa ya kuzikataa simu hizo??
Je, unajua ni kwa nini hasa Vifaa vyote kabisa vya kielektroniki vinavyoingizwa hapa nchini Tanzania ni lazima kwanza vikaguliwe na kusajiliwa na Tcra au au ile Tume ya Sayansi? Do you know the reasons?
 
Mimi ndiyo maana mtu akija PM na swaga zake za "Bro nitumie hata elfu 5 tu ya kula mchana wa leo", huwa sifanyi huo ujinga.

Hii haisaidii Sana kwa sababu details za kuhusu Utambulisho wako humu mtandaoni zinaweza kupatikana bila hata ya wewe kuweza kufanya majibizano na Mtu mwingine yoyote yule humu mtandaoni. Are you aware about Social Engineering, and the Spywares?

Simple and Portable Spyware Tools like Spy-catcher can catch up all your details from your Mobile Telecommunication Equipment within a short period of time like five minutes!
Ukiwa na kifaa cha HighTech & Advanced Spy-catcher inatosha kutumia muda mfupi wa dakika tano tu kuiba taarifa zako zote kabisa zilizopo kwenye kifaa chako Cha kielektroniki Kama vile Simu yako ya mkononi uliyonayo.
 
Siku hizi Tawala nyingi sana hapa duniani zimebadili mbinu za kuweza kufanya Ujasusi dhidi ya Watu wake kutoka kwenye zama za kufanya Ujasusi kwa kuwatumia Watu zaidi, yaani Human Intelligence (HUMINT) na kuingia kwenye zama mpya za kufanya Ujasusi kwa kutumia Teknolojia zaidi, yaani Technical Intelligence (TECHNINT). Teknolojia kwa sasa hivi ndio imechukua nafasi kubwa zaidi ya Matumizi ya binadamu katika kufanya Ujasusi.
Masuala ya DORIA za Kiujasusi au Surveillances Siku hizi yamekuwa yakifanyika kwa njia za Kimtandao kupitia Vifaa vya Kielektroniki vinavyotumia Mawasiliano ya kimtandao kama vile Simu (both Cellphones and Smartphones), tablets, tarakilishi (laptops), na aina zingine za kompyuta ambazo zinatumia Teknolojia za mitandao ya kimawasiliano.
Hakika Mkuu

Ndiyo maana imekuwa rahisi hata mambo ya Siri ambayo mnaweza kujadiliana na mwenzio kupitia hizo simu kubainika mapema

Mnakumbuka ishu ya Nape, Kinana na January miaka ile ya JPM

Kila kitu kilikuwa wazi na kilidakwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom