Tuko salama kiasi gani kwenye mitandao: Msikilize Maxcence Melo, JamiiAfrica CEO

Status
Not open for further replies.
Hakika Mkuu

Ndiyo maana imekuwa rahisi hata mambo ya Siri ambayo mnaweza kujadiliana na mwenzio kupitia hizo simu kubainika mapema

Mnakumbuka ishu ya Nape, Kinana na January miaka ile ya JPM

Kila kitu kilikuwa wazi na kilidakwa
Ndio maana unaona kwamba Watawala wamelazimisha Usajili wa Line za Simu (SIM Cards Registration ) zifanyike kwa kutumia Namba za Utambulisho za NIDA ili kuweza kuwafuatilia Watu kwa urahisi zaidi. Mbaya zaidi sana ni kwamba Wahusika wadukuzi wa mawasiliano haya ya kimtandao wamekuwa wakifanya hivyo huku wakiongozwa na Dhamira Ovu Mioyoni mwao. Isingekuwa tatizo endapo kama hao Wadukuzi wangekuwa wanafanya hivyo kwa kuongozwa na nia njema. We need an Ethical Hackers to perform that duty!
 
Sijawahi kudanganyika na kale ka kauli mbiu ka "where we dare to talk openly". Sina hakika kama mwenye kauli hiyo si mmoja wao.
 
Ndio maana unaona kwamba Watawala wamelazimisha Usajili wa Line za Simu (SIM Cards Registration ) zifanyike kwa kutumia Namba za Utambulisho za NIDA ili kuweza kuwafuatilia Watu kwa urahisi zaidi. Mbaya zaidi sana ni kwamba Wahusika wadukuzi wa mawasiliano haya ya kimtandao wamekuwa wakifanya hivyo huku wakiongozwa na Dhamira Ovu Mioyoni mwao. Isingekuwa tatizo endapo kama hao Wadukuzi wangekuwa wanafanya hivyo kwa kuongozwa na nia njema. We need an Ethical Hackers to perform that duty!
Umesema sahihi Mkuu, Wananchi inatuwia vigumu kuweza kuvuka huo Mtihani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom