Tuko tayari kulipa tozo na kodi aina zote lakini Serikali iwe tayari kusema imeshindwa kutumia rasilimali za nchi hii tulizojaaliwa na Mungu

Ogopa sana mtu mpumbavu na mjinga anapotoa maoni. Mara nyingi hutumia maneno Kama "tume...", Tuna....", "Tupo..." nk .

Ulipaswa kusema haya ni maoni yangu, na sio kujumuisha wengine kwenye kile unachofikiria
Na mama nae ni mpumbavu
 
Habari!

Sasa ni wakati muafaka wa kuachana na misaada kutoka nje, maana nao huko kwao hali ya uchumi imekaza.
Misaada inashusha heshima, mtu anayekusaidia hata akiongea upuuzi lazima ucheke ili umridhishe.
Options ni 2 tu kwasasa.

1. Kutumia rasilimali zetu kama gas, makaa ya mawe, dhahabu, na madini mengine ya vito kujijenga.
Bila kusahau fukwe za bahari na bahari yenyewe, maziwa na mito, ardhi yenye rutuba , milima, hifadhi na wanyama pori wetu.

Rasilimali za nchi hii ni nyingi, haya matrilioni ya kodi tuyatumie kama mtaji wa ku utilize rasilimali zetu.
2. Tuendelee kulipa tozo zilizopo na ziongezwe zingine ili tupate pesa za kuendesha nchi na kuleta ustawi katika jamii.

Ila katika option namba 2 tunaomba Serikali ikiri kuwa imeshindwa kutumia rasilimali tulizojaaliwa na Mungu kuleta maendeleo kwa wananchi hivyo imependekeza tozo ndizo ziwe mbadala wake.
Rasilimali zinachukuliwa na wawekezaji wananchi wanakufa kwa tozo
 
Watanzania lazima waelewe. Tatizo lipo kwa Watanzania vilevile sio serikali pekee. Kila Mtanzania mwenye uwezo ajiulize anafanya nini cha uzalishaji. Mimi mfano nina shamba bagamoyo mfanyakazi nimempa pikipiki, nimejenga nyumba, nimeajiri watu wakalima eka mbili lakini bado mfanyakazi huyohuyo badala ya kutumia pikipiki yangu kwa kujikimu ameenda kuweka rehani na pesa kunywa pombe sasa hapo serikali ifanyaje??? Ni lazima watu wenyewe wawe wachapakazi
 
Huyo mdanyakazi wako ana matatizo ya akili.
Serikali ina wajibu wa kuondoa kabisa au kupunguza tatizo hili la vijana kukosa akili.
 
Tatizo tumewadekeza sana watu wavivu kwenye nchi hii. Wenzetu uvivu kwa vijana ni aibu sisi hatuwaulizi kitu. Kuna mipango mingi kama ya kilimo inakuja lakini je hawa vijana watafanya kazi kweli na kulima hata wakipewa mbolea , masoko na matrekta?

Mo Dewji alianzisha mfuko wa kukopa vijana wajasiriamali umeishia kufugwa kwasababu vijana wanakimbia na pesa badala ya kujiendeleza. Yaani walikuwa hawajui alikuwa na mpango wa kuwasamahe madeni lakini alitaka awaone wapo kwenye mfumo
 
Back
Top Bottom