Tuko tayari kwenda Israel kuilinda Iwapo tutahitajika

Tuko tayari kwenda Israel kuilinda Iwapo tutahitajika

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,298
Reaction score
47,337
Inakuwaje wanajamvi,

Iwapo Taifa teule takatifu la Mungu pekee wa Kweli ikituhitaji tuko tayari.

Nikiwakilisha watetea wayahudi upande wa Afrika Mashariki natuma ujumbe wa wazi kwa Netanyahu asisite endapo atahitaji msaada wetu.

Tutakuja kwa uwingi wetu na tutalizunguka taifa teule kama human shield. Tuko radhi kufa hili utakatifu pekee uliosalia duniani uendelee kutamalaki.

Jiulize kwa nini Mungu mwenyewe Yesu aliamua kujibadilisha kupitia kwa wayahudi kwa nini siyo jamii nyingine? Tuko tayari kuitetea Israel.

Hatuna utani wa hili jambo kwa sababu ni tunu na mibaraka kwa familia yako pia hata tu kule kuwaza kuilinda Israel.

Israel ni ya kulindwa kwa nguvu zote.

ISRAEL THE LAND JEWS THE PEOPLE

IMG_20210514_180704.jpg
 
Mitumwa ya akili kama nyinyi ndio mlikuwa mnapelekwa utumwani na kuhasiwa kisha mnapigwa na miti juu, bogus!
MTUMWA NI WEWE UNAYEJISAIDIA VICHAKANI NA PORINI AMBAPO RELI YA KISASA YA UMEME YA SGR INAPOPITA.

JESUS AND ISRAEL FOREVER!
 
Hii story yako inanikumbusha siku wanamuziki wa Enjili wakijiita MAKOMA kutoka Congo walipokuja Tanzania. Walokole walikuwa wanawasubiri kwa hamu sana na matangazo kibao,lakini walikutana na vijana wa kiume waliosuka nywele na kutoboa masikio
Sasa hao Waisilael unaowajumlisha wewe ni pamoja na wale wacheza porn,makahaba majambazi wauaji waonezi wazinzi na warevi?
Mwenyezimu Mungu anasema atamuokoa Mtu kwa Imani yake na Matendo yake sio kwa sababu ya vinasaba vyake
shame on you mleta maada inaonenakana limbukeni wa Imani
 
Hata usemaje tuko tayari kufa kulitetea taifa teule hilo liko wazi kabisa halipingiki. Wee endelea tu kuleta porojo jamvini wakati sisi tunachanja mbuga kwenye mibaraka.

God bless and protect Israel and Saudi royal family.
 
Back
Top Bottom