- Thread starter
- #21
Ndo sisi mkuu ni kiu ya mibarakaAsee...nyie ndo mnaobeba benders za Israel kwenye magari yenu
Ndo sisi mkuu ni kiu ya mibarakaAsee...nyie ndo mnaobeba benders za Israel kwenye magari yenu
Hili litanfanyika letu ni la kupuuzia kwanza hadi hiki chama kiondoke😂😂😂 na Tanganyika vipi
Kweli kabisa mkuu unaira upumbavu. Unadiriki kuita matamshi ya Mungu upumbavu. Mungu mwenyewe alisema ukiibariki, kuitetea na kuilinda Israel kwa vyovyote vile utabarikiwa. Tubu mtu wangu na rengua iyo kauli yakoBado Tanzania inahitaji kukombolewa ... Hebu fikiri mtu anadiriki kuandika upumbavu wa namna hii... Afrika tumelogwa
Hayo mazoba utaanzaje kuyatetea wakati hata huyo Mungu wao wanayemuabudu kwa bidii zote na heshima kawapotezea?mwenge hauruki kijiji anzia hapo somalia
UJINGA WA KIROHO ni kuamini kuwa hata sasa Bado 'Israeli ni Taifa takatifu la Mungu'! Usijue hiyo hadhi liliondolewa kabla hata Yesu hajaondoka Duniani! Hadhi hiyo tulipewa SISI Wakristo baada ya Israeli Kumkataa Yesu Kristo!Inakuwaje wanajamvi!
Iwapo Taifa teule takatifu la Mungu pekee wa Kweli ikituhitaji tuko tayari.
Nikiwakilisha watetea wayahudi upande wa Africa Mashariki natuma ujumbe wa wazi kwa Netanyahu asisite endapo atahitaji msaada wetu.
Tutakuja kwa uwingi wetu na tutalizunguka taifa teule kama human shield. Tuko radhi kufa hili utakatifu pekee uliosalia duniani uendelee kutamalaki.
Jiulize kwa nini Mungu mwenyewe Yesu aliamua kujibadilisha kupitia kwa wayahudi kwa nini siyo jamii nyingine? Tuko tayari kuitetea Israel.
Hatuna utani wa hili jambo kwa sababu ni tunu na mibaraka kwa familia yako pia hata tu kule kuwaza kuilinda Israel.
Israel ni ya kulindwa kwa nguvu zote.
ISRAEL THE LAND JEWS THE PEOPLE
Namuona mtu wangu The Icebreaker amelike. Bora kuwa Nyani jeusi lakini kikubwa unapata upenyo wa kubarikiwaPumbafu kabisaa hii nyani nyeusi...wao wanawabagua na kuwaona nyani..nyie mnawakumbatia..hakuna taifa la MUNGU pale..taifa la MUNGU ni wale waliompokea KRISTO kama BWANA wao..hao ni washenzi tuuu...wazungu wa russia na ujerumani..
Kumbuka Siyo Israel yote ilimkataa Yesu. Nakukumbusha tu ndio hao hao wayahudi waliueneza ukristo hata kwa maisha yao. Petro, paulo, yohana, stephano endelea.... Ndo maana tuko tayari kufa nakuitete taifa teule.UJINGA WA KIROHO ni kuamini kuwa hata sasa Bado 'Israeli ni Taifa takatifu la Mungu'! Usijue hiyo hadhi liliondolewa kabla hata Yesu hajaondoka Duniani! Hadhi hiyo tulipewa SISI Wakristo baada ya Israeli Kumkataa Yesu Kristo!
Yaani sisi ni Wakristo kwasababu Israeli ILIKATALIWA.. sisi ni Waisraeli wakoroho
Namuona mtu wangu The Icebreaker amelike. Bora kuwa Nyani jeusi lakini kikubwa unapata upenyo wa kubarikiwa
Waafrika tuna tatizo somewhere...Inakuwaje wanajamvi!
Iwapo Taifa teule takatifu la Mungu pekee wa Kweli ikituhitaji tuko tayari.
Nikiwakilisha watetea wayahudi upande wa Afrika Mashariki natuma ujumbe wa wazi kwa Netanyahu asisite endapo atahitaji msaada wetu.
Tutakuja kwa uwingi wetu na tutalizunguka taifa teule kama human shield. Tuko radhi kufa hili utakatifu pekee uliosalia duniani uendelee kutamalaki.
Jiulize kwa nini Mungu mwenyewe Yesu aliamua kujibadilisha kupitia kwa wayahudi kwa nini siyo jamii nyingine? Tuko tayari kuitetea Israel.
Hatuna utani wa hili jambo kwa sababu ni tunu na mibaraka kwa familia yako pia hata tu kule kuwaza kuilinda Israel.
Israel ni ya kulindwa kwa nguvu zote.
ISRAEL THE LAND JEWS THE PEOPLE
BORA KUCHUKIWA NA MYAHUDI KULIKO KUPENDWA NA JAMII NYINGINE. MYAHUDI KUKUCHUKIA PIA NI MIBARAKA.Wewe mleta hoja jua ya kwamba Mayahudi wanawachukia nyie Wakristo zaidi ya Waisilamu usitake kuleta mambo usiyoyajua na hoja za kujipendekeza kwa kwa Israel.
Allah (SWT) mwenyewe kawalaani watu hawa kwa hiyo hawana utukufu hata mmoja walionao.
BORA MYAHUDI KUKUANGALIA HIVYO INAZIDISHA KUBARIKIWA NA MAMBO YAKO KUNYOOKAUtalishwa ndizi kima wewe mpaka uhare [emoji23][emoji23]kuna maeneo ya wayahudi ukipita wana kuangalia kama kima kwenye Zoo
BORA MYAHUDI KUKUANGALIA HIVYO INAZIDISHA KUBARIKIWA NA MAMBO YAKO KUNYOOKA
Haijalishi lakini kupitia kwao tunathamani mbele ya Mungu na tunazidi kuchanja mbuga kwenye mibarakaReligion in Israel - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
View attachment 1782974
Ukiristo Israel ni 2% usiiongopee akili yako ukadhani wale ni wenzako,Mayahudi wewe black huna thamani kwao wewe na dini yako.
Haijalishi kikubwa Israel ni taifa teule hiyo alibadilisha chochote![]()
Why This Middle-Eastern Country Is One Of The Most LGBT-Friendly Cities In The World
Discover what makes Tel Aviv one of the most LGBT-friendly travel destinations in the world.theculturetrip.com
Mungu yupi?Haijalishi lakini kupitia kwao tunathamani mbele ya Mungu na tunazidi kuchanja mbuga kwenye mibaraka