Bora umtetee hata huyo mwarabu kuliko nigger mwenzako. Wewe unamjua mmatumbi kweli? Hata ukimteteaje bado tu atakugeuka.Labda Congo nikatetee Waafrika wenzangu na unyonyaji wa mabeberu
Mkuu umeadimika kule jukwaa letu pendwa la ujasiriamali wa muhindi A.K.A kubeti
Bora uwe na utindio wa ubongo ukiwa na yesu kuliko kutokuwa na utindio wa ubongo ukiwa na shetani.
MTUMWA NI WEWE UNAYEJISAIDIA VICHAKANI NA PORINI AMBAPO RELI YA KISASA YA UMEME YA SGR INAPOPITA.Mitumwa ya akili kama nyinyi ndio mlikuwa mnapelekwa utumwani na kuhasiwa kisha mnapigwa na miti juu, bogus!
Bata
Hata usemaje tuko tayari kufa kulitetea taifa teule hilo liko wazi kabisa halipingiki. Wee endelea tu kuleta porojo jamvini wakati sisi tunachanja mbuga kwenye mibaraka.Hii story yako inanikumbusha siku wanamuziki wa Enjili wakijiita MAKOMA kutoka Congo walipokuja Tanzania. Walokole walikuwa wanawasubiri kwa hamu sana na matangazo kibao,lakini walikutana na vijana wa kiume waliosuka nywele na kutoboa masikio
Sasa hao Waisilael unaowajumlisha wewe ni pamoja na wale wacheza porn,makahaba majambazi wauaji waonezi wazinzi na warevi?
Mwenyezimu Mungu anasema atamuokoa Mtu kwa Imani yake na Matendo yake sio kwa sababu ya vinasaba vyake
shame on you mleta maada inaonenakana limbukeni wa Imani
Sawa, ila ndio hivyoMTUMWA NI WEWE UNAYEJISAIDIA VICHAKANI NA PORINI AMBAPO RELI YA KISASA YA UMEME YA SGR INAPOPITA.
JESUS AND ISRAEL FOREVER!