Tuko tayari kwenda Israel kuilinda Iwapo tutahitajika

Bado Tanzania inahitaji kukombolewa ... Hebu fikiri mtu anadiriki kuandika upumbavu wa namna hii... Afrika tumelogwa
Kweli kabisa mkuu unaira upumbavu. Unadiriki kuita matamshi ya Mungu upumbavu. Mungu mwenyewe alisema ukiibariki, kuitetea na kuilinda Israel kwa vyovyote vile utabarikiwa. Tubu mtu wangu na rengua iyo kauli yako
 
UJINGA WA KIROHO ni kuamini kuwa hata sasa Bado 'Israeli ni Taifa takatifu la Mungu'! Usijue hiyo hadhi liliondolewa kabla hata Yesu hajaondoka Duniani! Hadhi hiyo tulipewa SISI Wakristo baada ya Israeli Kumkataa Yesu Kristo!

Yaani sisi ni Wakristo kwasababu Israeli ILIKATALIWA.. sisi ni Waisraeli wakoroho
 
Pumbafu kabisaa hii nyani nyeusi...wao wanawabagua na kuwaona nyani..nyie mnawakumbatia..hakuna taifa la MUNGU pale..taifa la MUNGU ni wale waliompokea KRISTO kama BWANA wao..hao ni washenzi tuuu...wazungu wa russia na ujerumani..
Namuona mtu wangu The Icebreaker amelike. Bora kuwa Nyani jeusi lakini kikubwa unapata upenyo wa kubarikiwa
 
Kumbuka Siyo Israel yote ilimkataa Yesu. Nakukumbusha tu ndio hao hao wayahudi waliueneza ukristo hata kwa maisha yao. Petro, paulo, yohana, stephano endelea.... Ndo maana tuko tayari kufa nakuitete taifa teule.
 
Waafrika tuna tatizo somewhere...
 
Wewe mleta hoja jua ya kwamba Mayahudi wanawachukia nyie Wakristo zaidi ya Waisilamu usitake kuleta mambo usiyoyajua na hoja za kujipendekeza kwa kwa Israel.

Allah (SWT) mwenyewe kawalaani watu hawa kwa hiyo hawana utukufu hata mmoja walionao.
BORA KUCHUKIWA NA MYAHUDI KULIKO KUPENDWA NA JAMII NYINGINE. MYAHUDI KUKUCHUKIA PIA NI MIBARAKA.
 
Utalishwa ndizi kima wewe mpaka uhare [emoji23][emoji23]kuna maeneo ya wayahudi ukipita wana kuangalia kama kima kwenye Zoo
BORA MYAHUDI KUKUANGALIA HIVYO INAZIDISHA KUBARIKIWA NA MAMBO YAKO KUNYOOKA
 
Mdanganyane hukohuko kanisani kwenu,si ndiye nyie mliotimuliwa uwanja wa ndege mlipiga na kambi kabisa kwamba mtaenda kimiujiza,Msubiri jamaa yako Kibwetere wa Uganda mje Muungane naye
 
Haijalishi lakini kupitia kwao tunathamani mbele ya Mungu na tunazidi kuchanja mbuga kwenye mibaraka
Mungu yupi?

Yaani upitie kwa jamii iliyomkana Yesu ili upate baraka kwa huyo huyo ambae wao walimkana? Hiki ni kichekesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…