Tuko tayari kwenda Israel kuilinda Iwapo tutahitajika

Mungu yupi?

Yaani upitie kwa jamii iliyomkana Yesu ili upate baraka kwa huyo huyo ambae wao walimkana? Hiki ni kichekesho.
Paulo, Petro, stephano, yohana, Luka, mathayo, maria, Magdalena n. K walikuwa jamii ipi? Ndo maana hamuelewi tumedata kwa wayahudi.
 
Kumbuka Siyo Israel yote ilimkataa Yesu. Nakukumbusha tu ndio hao hao wayahudi waliueneza ukristo hata kwa maisha yao. Petro, paulo, yohana, stephano endelea.... Ndo maana tuko tayari kufa nakuitete taifa teule.
Kasome kwa utulivu Warumi 11
 
Unajua MUNGU anataka nini kutoka kwako?
MUNGU anataka utende HAKI, ujifunze REHEMA (HURUMA) na uenende kwa UNYENYEKEVU na Bwana MUNGU wako. Yaani uwe mtiifu kwake kwa kuzishika Amri zake zote.
Hakuna mahali popote kwenye Biblia umeagizwa ukalipiganie taifa la Israeli. Tena kwa taarifa yako ukiona taifa la Israeli linapigwa basi fahamu kwamba ni MUNGU mwenyewe ameagiza lipigwe.

Soma maandiko, siku za mwisho taifa la Israeli litapigwa vibaya sana na kuchakazwa vibaya sana na Jerusalem itachukuliwa na watu wa Mataifa na kuikalia mpaka siku MESSIAH atakaporudi tena mara ya pili.
 
Subirini cha moto the Hague , mashitaka ya mauwaji ya mkombozi Yesu yamewasilishwa Hague.🙂
 
Taifa la Mungu waliyemuua mungu na kumtundika!! Haya ndugu,
 
Sawa myahudi na muislam nenda kawalinde wakristo walio wachache zaidi wasije wakatoweka Israel
 
Sema unataka kuamia mazee, utaeleweka. Punguza maelezo
 
🤣 🤣 taifa teule taifa la mashoga, nenda kapigwe pipe uko
 
Kweli kabisa mkuu unaira upumbavu. Unadiriki kuita matamshi ya Mungu upumbavu. Mungu mwenyewe alisema ukiibariki, kuitetea na kuilinda Israel kwa vyovyote vile utabarikiwa. Tubu mtu wangu na rengua iyo kauli yako
Mshenzi wa tabia wewe.... What is Israel by the way....???? naach kuhangaika na mambo yako na nchi yako unahangaikana Israel
 
Una uhakika gani kuwa yesu alikuwa myahudi na alikuwa mweupe.

Mmejaza mapicha ya waigizaji wa marekeni kwa uelewa kuwa ni picha ye yesu.

Lini umewahi kuona Israel inawaza kuhusu wewe, fanya kazi acha kuwaza vitu vya angani angani.

Ndiyo shida ya kuokoka ukubwani,
 
Hilo taifa Mungu alishalikataa kitambo sijui huwa hamsomi maandiko maana kila siku mnakomaa nalo

MT. :23:37
Ee Yerusalemu, Yerusalemu, uwauaye manabii, na kuwapiga kwa mawe wale waliotumwa kwako! Ni mara ngapi nimetaka kuwakusanya pamoja watoto wako, kama vile kuku avikusanyavyo pamoja vifaranga vyake chini ya mabawa yake, lakini hamkutaka!

MT. :23:38
Angalieni, nyumba yenu mmeachiwa hali ya ukiwa.

Na baraka za Israeli zilikoma baada ya kumuua Yesu pale msalabani. Kwa hiyo hao wala hawana chochote ila ndiyo kutwa watu najiungamanisha na baraka za Israeli baraka gani wewe hawana baraka hao Mungu alishawakataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…