Tukubabali au tusikubali, Hayati Magufuli alikuwa mkombozi wetu

Jiwe alikuwa laana kwa taifa.
 
Kweli alikuwa Rais wa wanyonge kama wewe, hata kuandika tu hujui. Sasa wewe siyo mnyonge kweli?
 
Eti watanzania wote. So unadhani Watanzania wote ni wanyonge au wapumbavu kama wew?
 
The guy was an idiot
 
Siasa za kwenye mitandao zinawaponza kuamini kuwa JPM alikuwa hapendwi ..
Mlio na access ya mitandao ni wachache kati ya watanzania weng.
Hivyo main yenu na chuki zenu Kwa JPM si sahihi.

Uzalendo wa jpm Kwa taifa hili ulikuwa wa kiwango Cha juu mno.
Kwenu wanyonge msioweza nunua hata smartphone. Kwa watu wenye weledi Jiwe was a monster of his own.
 
Acha uongo wewe sukuma gang, yaani unamaanisha kuwa wajinga au wanyonge kila siku wanaongezeka? Pathetic
 
Mkombozi aliyepora Korosho za wana wa kusini?.
Mkombozi aliyeongeza makato ya bodi ya mikopo bila kuongea mishahara kwa watumishi wa umma?
Mkombozi aliyemuita na kununua MINDEGE BILA kufuata sheria za manunuzi?
Mkombozi aliyeua na kupiga risasi waliokosa?
Mkombozi aliyepambana kununua wabunge wa upinzani na kurudia tena uchaguzi?
Mkombozi aliyeipendelea TANROAD na MAYANGA CONSTRUCTION?
kkamfufue uzikwe wewe. Kwetu sisi Bwana alitenda maajabu kuliondoa lile dubwasha
 
Mkombozi wa tumbo lako
 
Uko sahihi! Alifanya maamuzi magumu sana ya kulisaidia Taifa, wameamua kurudi kulekule, sidhani kama kunakitachoendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…