Jifunafu
Senior Member
- May 25, 2020
- 182
- 693
Umefumuliwa marina sana akili imeruka.Vile mwendakuzimu amefurahia uzi wako huu kutokea huko kuzimu[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2178860
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umefumuliwa marina sana akili imeruka.Vile mwendakuzimu amefurahia uzi wako huu kutokea huko kuzimu[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2178860
Nani kakwambia ule ni ufisadi? Mali za Chama sio serikali! Za serikali zalibaki serikalini, za chama zibakia na chama, au sheria ya kuanzisha vyama ilisemaje?Nmeshangaa unasifia ukaguzi wa Mali ya wizi!! Badala ya kuwashauri wairudishe kwa raia.
Sheria inataka open space ziachwe ila CCM wakahodhi zote na kujenga mifremu na kumbi. Badala upinge huo ufisadi eti unasifia fremu zinalipiwa Kodi stahiki!!
Mnahalalisha ufisadi?
Chawa kaziniNi kweli kabisa alikuwa mkombozi wenu.
Chawa kaziniKwa hiyo mmekata tamaa baada ya mkombozi wenu kufariki?
Poleni sana.
Pia mkumbuke kuwa, Magufuli huyo huyo kwa watu wengine wengi alikuwa ni muuaji, mkatili, Dikteta, mfilisi na shetani.
Ameumiza wengi lazima haki itendeke tu.Ndugu zanguni, hapo nyuma kidogo na sasa kwa uchache baadhi ya watu wamekuwa wakitoa kauli za kubeza kazi nzuri zilizofanywa na JPM kwa kejeli na dhihaka.
Nadhani lengo lao kubwa ni kutaka kufuta Legacy yake. Ukweli ni kwamba, hakuna mtu awaye yote anayeweza kufuta Legacy ya JPM.
Mbaya zaidi ni kwamba,wanapozidi kumbeza JPM na kazi zake ndipo wanapozidi kuumbuka zaidi.
Hapo ni lazima tukubabali kuwa, Mungu yupo upande wa JPM.
Ikumbukwe kwamba:-
1. JPM aliingiza Nchi katika uchumi wa kati katikati ya kipindi cha CORONA, lakini sasa tunaambiwa uchumi umeshuka.
2.Wakati wa JPM, vibaka walitoweka kabisa, lakini sasa wamerudi kwa kasi ya ajabu.
3. Wakati wa JPM, watumishi wa serikali walikuwa na nidhamu na walitekeleza wajibu wao ipasavyo lakini sasa ni balaa tupu. Hata kama ilikuwa nidhamu ya woga kama wanavyosema wengine lakini ilisaidia.
4. Wakati wa JPM, bei za vitu hazijawahi kupanda kiholela holela hivi, lakini sasa kila Mtanzania anajua hali ilivyo huku mtaani. Hali ni mbaya kweli kweli.
5. Wakati wa JPM, Ajali nyingi za kijinga kijinga zilikwisha kabisa lakini sasa zimerudi kwa kasi ya ajabu na kila mtu ni shahidi.
6. Wakati wa JPM, umeme haujawahi kukatikakatika kihuni huni namna hii, lakini sasa kila Mtanzania ni shahidi.
Hayo ni machache tu, yapo mengi mazuri yaliyofanywa na JPM yaliyokuwa msaada kwa Watanzania.
Rai yangu kwa viongozi ni kwamba, fanyeni tathmini ya kina muone mmekosea wapi na mjirekebishe.
Kamwe msihalalishe UDHAIFU wenu kwa kumdhihaki JPM, haitawasaidia isipokuwa mtaharibikiwa zaidi.
Acheni visingizio vya ajabu ajabu, maana sasa kila mnapofeli jambo fulani mnasingizia CORONA kana kwamba CORONA imeanza baada ya JPM kututoka.
Hivi karibuni mmeanza kusingizia vita vya Urusi na Ukraine. Visingizio vingi ni dalili za wazi kabisa za udhaifu wa kiongozi/viongozi.
Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania.
Kwa taarifa zenyewe nazo SI zilitiwa kwenye vyungu vya nyungu 😂jibu hoja unakuwa kama wanasiasa.
Kipindi cha corona ndyo tungetegemea maisha yangekuwa magumu sana lakini Magu alidhibiti kila kitu.
Hii ina mahusiano gani na vyombo vya habari
+ racketeers and cartels I guess !!Alikuwa mkombozi wako ww na family yako na watu wako, kwangu mimi alikuwa mnyang'anyi! Alikuwa katili, alikuwa dhulumati! Kwangu mimi na family yangu na ukoo wangu na ndugu na jamaa zangu wote walikuwa waathirika wa magufuli, nili furahi alipolala yooo na ninasema am happy now Mimi na family na ukoo wangu na ndugu zangu na jamaa zangu wote we are so happy now.
Kiongozi wa Serikali, mteule wa Rais, rukhsa kula kwa urefu wa kamba yake - kauli ya RaisAlikomesha mambo yote ya blaaa blaaa, sasa yamerudi kwa kasi. Ninapenda hii "tajiri kufanyiwa lolote bila woga" sasa mguse tajiri unuke.
Ndugu zanguni, hapo nyuma kidogo na sasa kwa uchache baadhi ya watu wamekuwa wakitoa kauli za kubeza kazi nzuri zilizofanywa na JPM kwa kejeli na dhihaka.
Nadhani lengo lao kubwa ni kutaka kufuta Legacy yake. Ukweli ni kwamba, hakuna mtu awaye yote anayeweza kufuta Legacy ya JPM.
Mbaya zaidi ni kwamba,wanapozidi kumbeza JPM na kazi zake ndipo wanapozidi kuumbuka zaidi.
Hapo ni lazima tukubabali kuwa, Mungu yupo upande wa JPM.
Ikumbukwe kwamba:-
1. JPM aliingiza Nchi katika uchumi wa kati katikati ya kipindi cha CORONA, lakini sasa tunaambiwa uchumi umeshuka.
2.Wakati wa JPM, vibaka walitoweka kabisa, lakini sasa wamerudi kwa kasi ya ajabu.
3. Wakati wa JPM, watumishi wa serikali walikuwa na nidhamu na walitekeleza wajibu wao ipasavyo lakini sasa ni balaa tupu. Hata kama ilikuwa nidhamu ya woga kama wanavyosema wengine lakini ilisaidia.
4. Wakati wa JPM, bei za vitu hazijawahi kupanda kiholela holela hivi, lakini sasa kila Mtanzania anajua hali ilivyo huku mtaani. Hali ni mbaya kweli kweli.
5. Wakati wa JPM, Ajali nyingi za kijinga kijinga zilikwisha kabisa lakini sasa zimerudi kwa kasi ya ajabu na kila mtu ni shahidi.
6. Wakati wa JPM, umeme haujawahi kukatikakatika kihuni huni namna hii, lakini sasa kila Mtanzania ni shahidi.
Hayo ni machache tu, yapo mengi mazuri yaliyofanywa na JPM yaliyokuwa msaada kwa Watanzania.
Rai yangu kwa viongozi ni kwamba, fanyeni tathmini ya kina muone mmekosea wapi na mjirekebishe.
Kamwe msihalalishe UDHAIFU wenu kwa kumdhihaki JPM, haitawasaidia isipokuwa mtaharibikiwa zaidi.
Acheni visingizio vya ajabu ajabu, maana sasa kila mnapofeli jambo fulani mnasingizia CORONA kana kwamba CORONA imeanza baada ya JPM kututoka.
Hivi karibuni mmeanza kusingizia vita vya Urusi na Ukraine. Visingizio vingi ni dalili za wazi kabisa za udhaifu wa kiongozi/viongozi.
Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania.
Kama alifanya yote hayo, na sasa mwaka mmoja badaye yametoweka, ujue tu yalikua ‘fake’! Lagacy haiwezi kufutwa, lakini haitetewi pia, inatakiwa ijitete yenyewe!Ndugu zanguni, hapo nyuma kidogo na sasa kwa uchache baadhi ya watu wamekuwa wakitoa kauli za kubeza kazi nzuri zilizofanywa na JPM kwa kejeli na dhihaka.
Nadhani lengo lao kubwa ni kutaka kufuta Legacy yake. Ukweli ni kwamba, hakuna mtu awaye yote anayeweza kufuta Legacy ya JPM.
Mbaya zaidi ni kwamba,wanapozidi kumbeza JPM na kazi zake ndipo wanapozidi kuumbuka zaidi.
Hapo ni lazima tukubabali kuwa, Mungu yupo upande wa JPM.
Ikumbukwe kwamba:-
1. JPM aliingiza Nchi katika uchumi wa kati katikati ya kipindi cha CORONA, lakini sasa tunaambiwa uchumi umeshuka.
2.Wakati wa JPM, vibaka walitoweka kabisa, lakini sasa wamerudi kwa kasi ya ajabu.
3. Wakati wa JPM, watumishi wa serikali walikuwa na nidhamu na walitekeleza wajibu wao ipasavyo lakini sasa ni balaa tupu. Hata kama ilikuwa nidhamu ya woga kama wanavyosema wengine lakini ilisaidia.
4. Wakati wa JPM, bei za vitu hazijawahi kupanda kiholela holela hivi, lakini sasa kila Mtanzania anajua hali ilivyo huku mtaani. Hali ni mbaya kweli kweli.
5. Wakati wa JPM, Ajali nyingi za kijinga kijinga zilikwisha kabisa lakini sasa zimerudi kwa kasi ya ajabu na kila mtu ni shahidi.
6. Wakati wa JPM, umeme haujawahi kukatikakatika kihuni huni namna hii, lakini sasa kila Mtanzania ni shahidi.
Hayo ni machache tu, yapo mengi mazuri yaliyofanywa na JPM yaliyokuwa msaada kwa Watanzania.
Rai yangu kwa viongozi ni kwamba, fanyeni tathmini ya kina muone mmekosea wapi na mjirekebishe.
Kamwe msihalalishe UDHAIFU wenu kwa kumdhihaki JPM, haitawasaidia isipokuwa mtaharibikiwa zaidi.
Acheni visingizio vya ajabu ajabu, maana sasa kila mnapofeli jambo fulani mnasingizia CORONA kana kwamba CORONA imeanza baada ya JPM kututoka.
Hivi karibuni mmeanza kusingizia vita vya Urusi na Ukraine. Visingizio vingi ni dalili za wazi kabisa za udhaifu wa kiongozi/viongozi.
Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania.
Uchumi wa kati katikati ulibadilisha chochote kwenye maisha na maendeleo yako binafsi?Tuliingia uchumi wa kati katikati ya kipindi cha CORONA na sasa tumeshuka.
Kwani mambo yalikuwa laini?Labda yalikuwa laini kwenu sukuma gang.Lkn kiujumla mambo yamekuwa laini baada ya kufa mungu wenujibu hoja unakuwa kama wanasiasa.
Kipindi cha corona ndyo tungetegemea maisha yangekuwa magumu sana lakini Magu alidhibiti kila kitu.
Hii ina mahusiano gani na vyombo vya habari
Huo ndo ushamba tusioutaka.Sasa umguse tajiri kafanya nini?Kosa lake kuwa tajiri?Au unadhani wewe masikini ndo mtanzania halisi kuliko tajiri?Mawazo ya hovyo sana hayo.Yaani wewe tajiri anakukera sana katika nchi hii sio?Umasikini wako ndo ukufanye umchukie tajiri!Ulimsaidia kutafuta?Au kaiba pesa za baba ako?Washamba kama nyie haitatokea mpewe nchi hii tena.Alikomesha mambo yote ya blaaa blaaa, sasa yamerudi kwa kasi. Ninapenda hii "tajiri kufanyiwa lolote bila woga" sasa mguse tajiri unuke.
Corona haiku adhiri uzalishaji tumia akilijibu hoja unakuwa kama wanasiasa.
Kipindi cha corona ndyo tungetegemea maisha yangekuwa magumu sana lakini Magu alidhibiti kila kitu.
Hii ina mahusiano gani na vyombo vya habari
Huna akili wewe sukuma gang, wachina wanasoma kwa kiingereza? Huyo jamaa yenu kila kitu chake kina utata, kuanzia uraia wake mpaka elimu yake ni utataKiingereza ndio kipimo cha elimu sikuhizi? Mbona wachina ni ma Tycoon na wanaongelea kingereza cha “Noti Byutifuley”