Tukubali au tukatae, wake zetu huliwa nje ya ndoa

Hii ipeleke kule kwenye 'masikhara'.
 
Mida ya kula wake za watu ni saa 4 asubuhi na saa 10 jioni.

Saa 4 asubuhi ni kwa wamama wa nyumbani wanapoenda gengeni wakati waume zao wakiwa kazini.

Saa 10 jioni ni kwa wamama wafanyakazi. Anatoka kazini saa 10 anapitia geto ama gesti anachapwa kisha anaenda nyumbani. Akichelewa kufika nyumbani anasingizia changamoto za usafiri.


Wachapa wake za watu hoyee!
 
Umeamua ugawe faili la kambi
 
Nje atatoa hadi kwampalange, wewe ukijaribu yanakukuta yaliyomkuta kijana wa Njombe.
Kumla tigo mke wake mwenyewe kumempeleka lodge ya serikali miaka 30.
Hii mpya ya kweli haya?
 
Ushuhuda

Jana tu jioni tumelambana mate na mke wa jama angu

Alinikuta ofcn jioni natafakar Mara ghafla akasema shem unawaza nin wewe huku akiniikalia nikasema asinitanie huyu nilimnyonya mate pale pale kwa dakika moja o nusu
 
Ndio maana ndoa haieshimiki Tena nyakati hizi,unakuta mke wa mtu anakumbatiana na wanaume wengine mpaka unajiuliza Sasa walifunga ndoa ya nini.
 
Ushuhuda

Jana tu jioni tumelambana mate na mke wa jama angu

Alinikuta ofcn jioni natafakar Mara ghafla akasema shem unawaza nin wewe huku akiniikalia nikasema asinitanie huyu nilimnyonya mate pale pale kwa dakika moja o nusu
Dunia ina mambo sana, Huyo lazima utakuja kumla ila niamini mimi mambo yatakuja kuwa wazi na hautoelewa imekuaje.

Yani jamaa yako atajua kila kitu
 
Ndio maana maandiko yalisema watwangwe mawe wote wazinzi wawili waloko kwenye ndoa ni sababu ya kulinda heshima na hadhi ya binaadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…