Tukubali au tukatae, wake zetu huliwa nje ya ndoa

Tukubali au tukatae, wake zetu huliwa nje ya ndoa

Duuh...aisee umenikumbusha juzi nili take risk moja mbaya sana na kama UKIMWI ningeukwaa siku hiyo kwa uzembe wangu.

December mwishoni 2023 nilisafiri kwenda mkoani (mkoa X) kwa ajili ya sikukuu na kuwaona wazee.

Kwa sababu ni mbali na Dar, hivyo nilitumia masaa kama 15 hivi kufika huko, nikawa nimefika kama saa mbili hivi usiku na nikaamua kufikia lodge.

Hiyo lodge imepewa jina la YERUSALEM na nilivyo ulizia kwanini imepewa hilo jina, nikaambiwa mmiliki wake ni mcha Mungu sana na hataki mambo ya "show time" yeye huwa analaza wageni wanao safiri tu.

Basi bhan yule mhudumu alikuwa wa kike akanipokea vizuri akabeba mabegi yangu na kunikabidhi chumba.

Kabla hajaondoka akanambia "pole sana na safari na ingekuwa vizuri kama ningekupa huge ili utoe uchovu wa safari"

Nikamwambia hamna shida ni huge tu, aisee yule mhudumu badala ya kuni-huge si akananikumbatia mazima tena kwa kunibana (kwa nguvu), nikajifanya kama naanguka kitandani na yeye akaangukia juu yangu.

Badae akanambia ngoja kwanza nifunge mlango, akabana mlango lock akaja then ghafla nikaona anavua nguo.

Aisee sikujiuliza mara mbili mbili na mimi nikatupa suruali kule nikamfua yule mhudumu kimoja cha chap tena peku peku.

Then akanambia kaoge kwanza nije nikumalizie kukutoa uchovu vizuri kabla sijaenda nyumbani.

Aisee nilienda kuoga alafu ndo akili zikanirudia na kujiambia kimoyo moyo "hivi kumbe ndiyo watu wanapataga ukimwi kirahisi hivo, yaani mtu simjui hanijui alafu ananipa peku peku".

Wakati nawaza hivo saa tatu hivi nikaskia mlango unagongwa (kumbe ni mwenyewe mhudumu).

Nikafungua tu kanirukia mara maro-mance nikamfua tena cha pili peku peku hivo hivo (sema nilitumia mda sana mpaka akaanza kunambia humalizi tu wateja wataanza kuniita😆😆😆) maana nilitumia kama more than 40 minutes hivi.

Mambo yakaisha akanambia saa nne mimi naondoka kwenda kwangu, nikamwambia si tulale tu hapa na mimi.

Akajibu "Nimeolewa nna mume na watoto watatu" aisee yule muhudumu aliniacha katika hali ya mshangao sana.

Then hakuniomba hata hela japo zilikuwepo japo mezani anaziona kwenye wallet, akaondoka hivi hivi.

Sema asubuhi mi mwenyewe niliona aibu alivyokuja kazini nikachukua 20,000/= nikampa maana niliona amenifanyia wema japo kwa risk.

Badae nilikuja kumuuliza hivi huogopi hata ukimwi umenipa peku peku na hatujuani ndo mara ya kwanza tunaonana.

Akanjibu kifupi kwamba "nilivyokuona tu kabla hata sijakuongelesha nilikuamini.

Then ni mkubwa kwangu kidogo mimi nna 29 years age na yeye ana miaka 35 years age.

Kwa hiyo hawa wake za watu sometime wanaliwa tu bila hata sababu za msingi, mfano : sikuona sababu ya msingi ya huyu mwanamke kunipa K, maana issue haikuwa pesa wala nini ni yeye tu kaamua kunipa bure na wala sikumtongoza.
Hii ipeleke kule kwenye 'masikhara'.
 
Mida ya kula wake za watu ni saa 4 asubuhi na saa 10 jioni.

Saa 4 asubuhi ni kwa wamama wa nyumbani wanapoenda gengeni wakati waume zao wakiwa kazini.

Saa 10 jioni ni kwa wamama wafanyakazi. Anatoka kazini saa 10 anapitia geto ama gesti anachapwa kisha anaenda nyumbani. Akichelewa kufika nyumbani anasingizia changamoto za usafiri.


Wachapa wake za watu hoyee!
 
Mida ya kula wake ni saa 4 asubuhi na saa 10 jioni.

Saa 4 asubuhi ni kwa wamama wa nyumbani wanapoenda gengeni wakati waume zao wakiwa kazini.

Saa 10 jioni ni kwa wamama wafanyakazi. Anatoka kazini saa 10 anapitia geto ama gesti anachapwa kisha anaenda nyumbani. Akichelewa kufika nyumbani anasingizia changamoto za usafiri.


Wachapa wake za watu hoyee!
Umeamua ugawe faili la kambi
 
Ushuhuda

Jana tu jioni tumelambana mate na mke wa jama angu

Alinikuta ofcn jioni natafakar Mara ghafla akasema shem unawaza nin wewe huku akiniikalia nikasema asinitanie huyu nilimnyonya mate pale pale kwa dakika moja o nusu
 
Ndio maana ndoa haieshimiki Tena nyakati hizi,unakuta mke wa mtu anakumbatiana na wanaume wengine mpaka unajiuliza Sasa walifunga ndoa ya nini.
 
Ushuhuda

Jana tu jioni tumelambana mate na mke wa jama angu

Alinikuta ofcn jioni natafakar Mara ghafla akasema shem unawaza nin wewe huku akiniikalia nikasema asinitanie huyu nilimnyonya mate pale pale kwa dakika moja o nusu
Dunia ina mambo sana, Huyo lazima utakuja kumla ila niamini mimi mambo yatakuja kuwa wazi na hautoelewa imekuaje.

Yani jamaa yako atajua kila kitu
 
Ndio maana maandiko yalisema watwangwe mawe wote wazinzi wawili waloko kwenye ndoa ni sababu ya kulinda heshima na hadhi ya binaadamu
 
Back
Top Bottom