jerrytz
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 5,975
- 4,266
key words "mchezaji bora wa wakati huu......"
Duniani wamepita wengi sana.
Huwa sielewi George Weah alikuwa mchezaji wa aina gani kuweza kufikia kuchukua mchezaji bora wa Ulaya na Dunia.....niliambiwa tu kuwa alikuwa hatari sana mpaka Waamerika kusini na Wazungu wakasubiri.....
Nadhani tuna limit ya wakati tunapofanya maamuzi ya nani ni bora!!!