Tukubali tu Messi Ndiye Mchezaji Mahiri Kuwahi Tokea Hapa Duniani

Tukubali tu Messi Ndiye Mchezaji Mahiri Kuwahi Tokea Hapa Duniani

King Messi ni Mchezaji bora miaka 10 mfululizo hatari sana. Wala haihitaji kumcompare na michezaji mingine,, anajulikana yeye ni from another planet...

  1. King Messi
  2. King Diego
 
Kuna kitu huwa kinashangaza mno,, nimegundua baadhi ya mishabiki ya bongo mara nyingi huwa inajifanya inajuwa sana mpira kuliko wenzetu i meant europe n.k

So yeyote anayemkubali Messi atakuwa amezaliwa miaka ya 80 kuja juu sio?? wakubwa je hawamo? Kwanini umkadirie mwenzio amezaliwa kwenye 1989? Umejuwaje??

Wachezaji wengi wamepita wakina Diego Pele alfredo puskas zidane cruyff n.k..lakini King is marvellous/wakipekee kuwahi kutokea...yeye ni bora uwanjani kama mshambuliaji, kiungo, winger, kua assist,
Kutengeneza nafasi, master wa passes, master of freeckick, kudribble, tackling yani inshort King Messi ni Mchezaji aliyekamilika. So Huwezi mlinganisha na vitu vya kijinga mkuu.
You know you’re unnecessarily sarcastic dude. Kujua kama umri wako wewe ni mdogo kunatoka na viashiria fulani ulivyonavyo na uwezo wangu wakukuprofile hasa pale unapofikiri uko soo analytical. I told you what your king does is a repetition. Just understand.
 
Jitahidi...ipo siku woooooooote tutakuamini...jitahidi tu.

Jukumu la Messi ni kuibeba timu namaanisha timu inashinda ndio maana hata asipofunga goli lazima utatambua uwepo wake uwanjani...either atafunga au atatoa assist za magoli au ataichachafya timu pinzani mpaka itatoa nafasi kwa wachezaji wengine kung'ara na kufunga...kitu ambacho kwa wachezaji wote waliopita na wa sasa hawana hicho kitu... Wasipofunga basi hawana kingine cha kujivunia, hawaonekani, hata kupiga chenga wachezaji wa timu pinzani ni shida. Mfalme Messi anafanya mengi akiwa uwanjani kama mchezaji.


ALL IN ALL MESSI NI MCHEZAJI BORA KUWAHI KUTOKEA KATIKA ULIMWENGU WA SOKA. NAMSHUKURU MUUMBA NIMEPATA CHA KUHADITHIA WANANGU NA WAJUKUU ZANGU PIA.
 
You know you’re unnecessarily sarcastic dude. Kujua kama umri wako wewe ni mdogo kunatoka na viashiria fulani ulivyonavyo na uwezo wangu wakukuprofile hasa pale unapofikiri uko soo analytical. I told you what your king does is a repetition. Just understand.

Ninaposema jukumu la Meesi ni kuibeba timu namaanisha timu inashinda ndio maana hata asipofunga goli lazima utatambua uwepo wake uwanjani...either atafunga au atatoa assist za magoli au ataichachafya timu pinzani mpaka itatoa nafasi kwa wachezaji wengine kung'ara na kufunga...kitu ambacho kwa wachezaji wote waliopita na wa sasa hawana hicho kitu. Wasipofunga basi hawana kingine cha kujivunia, hawaonekani, hata kupiga chenga wachezaji wa timu pinzani ni shida. Mfalme Messi anafanya mengi akiwa uwanjani kama mchezaji.


ALL IN ALL MESSI NI MCHEZAJI BORA KUWAHI KUTOKEA KATIKA ULIMWENGU WA SOKA. NAMSHUKURU MUUMBA NIMEPATA CHA KUHADITHIA KWA WANANGU NA WAJUKUU ZANGU PIA.
 
kwa haya majibu kwanza nimegundua kuna mtu kakujibia halafu ww bado mdogo.
1. dukinah umepatia kuwa maana yake ni haina tabu
2. jeifongo zilikuja wakati wa vita vya msumbiji 1974-75 sio 1976
3. veve ni kweli ni bendi ya muziki lakini hukuwa specific inatoka wapi. yote yasema wewe ni wa juzi juzi.

Nikipiga hesabu unavyomsifia messi nakukadiria umezaliwa kwenye 1989 na hapo nimekupendelea maana hiyo ya bibi yetu ni exaggeration usioiweza kabisa.

Sasa kulikuwa na manguli wengi wenye vitu vya ajabu waliopata kuwepo kabla ya messi. sisi tunaona hii repetition kama ambavyo utakuja msimulia mtoto wako huko 2050s
Kwa majibu haya ina maana hata wenger amejibu upuuzi kusema Messi ndie mchezaji bora muda wote? Unawazungumzia vipi akina Jose Mourinho, Ancelloti n.k? Wote hawa wamezaliwa miaka 80 kuja juu?
 
Kwasababu ya vile vigoli vya Jan au? mbona cr7 anazitupia kila mechi. Acheni ushabiki wa kinfki
 
hayo mawadho yaqo mkuu hatukupingii.... [emoji125][emoji125]
 
Msikilizeni Conte alichokisema alafu ndiyo muendelee na ubishi wenu
Screenshot_20180315-151131.jpg
 
Kwa majibu haya ina maana hata wenger amejibu upuuzi kusema Messi ndie mchezaji bora muda wote? Unawazungumzia vipi akina Jose Mourinho, Ancelloti n.k? Wote hawa wamezaliwa miaka 80 kuja juu?

Messi anawanyima usingizi hawa viumbe. Mi ntakuambia kitu kamanda...hawa watu tena ni wachache sana wanaompinga Messi hata 50 hawafiki humu jamiiforrums. So wanajuwa kabisa Messi ndiye mchezaji ambae hana mpinzani mpaka sasa,, wanajuwa kabisa yeye ni bora uwanjani kama mshambuliaji, kiungo, winger, kua assist,
Kutengeneza nafasi, master of passes, master of freeckick, kudribble, tackling..yani wanajuwa kabisa Messi ni Mchezaji aliyekamilika/kuwahi kutokea...
except ni wivu na chuki zinawasumbua watu hawa. Kama ulivyonena haya maneno INASEMEKANA KUWA WANAOMCHUKIA MESSI WAPO KWENYE HATARI KUBWA SANA YA KUPUNGUZA UWEPO WA MAISHA YAO HAPA DUNIANI.

 
Kwa majibu haya ina maana hata wenger amejibu upuuzi kusema Messi ndie mchezaji bora muda wote? Unawazungumzia vipi akina Jose Mourinho, Ancelloti n.k? Wote hawa wamezaliwa miaka 80 kuja juu?
Nyie jamaa vipi? Kwani wenger ndio fact checker wa mpira?
Wenger alimuona Pele mwaka 1958?
Wenger alikuwepo mwaka 1905?

Semeni mnampenda Messi, hakuna atakaye wazuia msilazimishe facts.
 
Back
Top Bottom