Tukubali tu Messi Ndiye Mchezaji Mahiri Kuwahi Tokea Hapa Duniani

Tukubali tu Messi Ndiye Mchezaji Mahiri Kuwahi Tokea Hapa Duniani

Kwasababu ya vile vigoli vya Jan au? mbona cr7 anazitupia kila mechi. Acheni ushabiki wa kinfki
Messi ana mengi,a lot of skills
zaidi ya kufunga
Kweli Cr 7 anafunga kweli anajitahidi target ya goal lkn waweza kuta ni kati ya waviziaji bora Duniani yaani kundi la kina Chicharito,haangaiki ndio kisa anapofunga Mara nyingi anakua peke yake,Chunguza
 
test questions for you:
1. msemo wa dukinah! ulitumika mwaka gani hapa TZ?
2. jeifongo ni kitu gani? ilitumika hapa Tanzania mwaka gani?
3. lini ulisikia mara ya kwanza neno veve au les kamalee?
Dukinaa - Dangachee
Jeifongo - Trucks
Les camalee(and such) - Verkiz,Paselepa and the likes.
Veve kwa ukamilifu ni Orchestra Veve.
Sorry,I'm just trying to refresh my memories. Ha ha.., mambo ya kitambo kichwa kimeshapoteza kumbukumbu. Back to the topic, Messi is the all time best.
 
Labda umeanz kufuatilia mpira baada ya dinho kuach soka
Wengine tumeanza kufuatilia soka kitambo tu toka enzi za Maradona lakini hakuna kama Mesi katika Dunia hii, mi si mshabiki wa Barcelona wala Argentina ila ni mshabiki wa kufa na kupona wa France lakini Mesi ni baba lao Ronadinho ni fundi lakini Mesi ni mwalimu.
 
Messi ana mengi,a lot of skills
zaidi ya kufunga
Kweli Cr 7 anafunga kweli anajitahidi target ya goal lkn waweza kuta ni kati ya waviziaji bora Duniani yaani kundi la kina Chicharito,haangaiki ndio kisa anapofunga Mara nyingi anakua peke yake,Chunguza
Eti anakuwa pekeyake , sikuhizi hamna sheria ya offside?[emoji23]
 
Messi anawanyima usingizi hawa viumbe. Mi ntakuambia kitu kamanda...hawa watu tena ni wachache sana wanaompinga Messi hata 50 hawafiki humu jamiiforrums. So wanajuwa kabisa Messi ndiye mchezaji ambae hana mpinzani mpaka sasa,, wanajuwa kabisa yeye ni bora uwanjani kama mshambuliaji, kiungo, winger, kua assist,
Kutengeneza nafasi, master of passes, master of freeckick, kudribble, tackling..yani wanajuwa kabisa Messi ni Mchezaji aliyekamilika/kuwahi kutokea...
except ni wivu na chuki zinawasumbua watu hawa. Kama ulivyonena haya maneno INASEMEKANA KUWA WANAOMCHUKIA MESSI WAPO KWENYE HATARI KUBWA SANA YA KUPUNGUZA UWEPO WA MAISHA YAO HAPA DUNIANI.

Messi hamfikii hata Lingard
 
Kila zama na kitabu chake...

Pele, Eusebio, Puskas, Di Stefano, Maradona, Zidane, Gaucho, Garincha, Van Basten, Weah, Roger Miller na list inaendelea wote hawa walikuwa bora kila mtu kwa wakati wake...

Sasa ukitaka kuwatofautisha na lazima uanze kutazama idadi ya magoli waliyofunga, assists walizotoa, makombe waliyobeba n.k
 
Kuna kitu huwa kinashangaza mno,, nimegundua baadhi ya mishabiki ya bongo mara nyingi huwa inajifanya inajuwa sana mpira kuliko wenzetu i meant europe n.k

So yeyote anayemkubali Messi atakuwa amezaliwa miaka ya 80 kuja juu sio?? wakubwa je hawamo? Kwanini umkadirie mwenzio amezaliwa kwenye 1989? Umejuwaje??

Wachezaji wengi wamepita wakina Diego Pele alfredo puskas zidane cruyff n.k..lakini King is marvellous/wakipekee kuwahi kutokea...yeye ni bora uwanjani kama mshambuliaji, kiungo, winger, kua assist,
Kutengeneza nafasi, master wa passes, master of freeckick, kudribble, tackling yani inshort King Messi ni Mchezaji aliyekamilika. So Huwezi mlinganisha na vitu vya kijinga mkuu.
Faza hujaujua mpira kaka ukipata nafasi tu fatilia mechi za kombe la Dunia 1994,1998,2002 pamoja na Euro 2000 hapo ndo utagundua viumbe wa ajabu walioata kuwepo katika dunia hii huyo Messi hata robo haingi hata kwa Africa anza na mpira waliokuwa wakicheza kina Okocha, G weah, Amunike wazee wa chenga hawa, Elhaj Diof na wengine wengi tu fatilia utamuona Messi wa kawaida mno sema anacheja mpira kipindi ambacho soka ni biashara na si burudani
 
Sema wewe sasa Nani zaidi kwa sasa duniani ktk soka?tupe Rangi uipendayo tulinganishe
iwe iwavyo mwache kila mtu achague atakacho,wewe chagua chako waachie wengine vilivyobakia.sio unachagua halafu unataka na wenzio hivyo hivyo.usifosi mfanane.mimi humzungumzia gaucho tu ndio lilikua chaguo langu la mwisho kuliona.
 
[MCHEZAJI BORA KWAKO]....embu muhamishe timu nyingine huyo KIKARAGOSI chako,kikipafomu vizuri tutaamini hayo maneno.
 
Faza hujaujua mpira kaka ukipata nafasi tu fatilia mechi za kombe la Dunia 1994,1998,2002 pamoja na Euro 2000 hapo ndo utagundua viumbe wa ajabu walioata kuwepo katika dunia hii huyo Messi hata robo haingi hata kwa Africa anza na mpira waliokuwa wakicheza kina Okocha, G weah, Amunike wazee wa chenga hawa, Elhaj Diof na wengine wengi tu fatilia utamuona Messi wa kawaida mno sema anacheja mpira kipindi ambacho soka ni biashara na si burudani

Wote hao ulowataja nimewafuatilia vizuri sana..enzi hizo huniambii kitu kwa ZINEDINE and REQUELME. Wanafuatia wakina Ortega, Gaucho de lima batistuta Zola n.k

Sasa katika wote niliowataja na ambao sikuwataja I mean wakubwa zao DIEGO MARADONA, PELE, ALFREDO, PUSKAS RIJCARD,CRUYFF n.k..ntabakia kumkubali MESSI ndiye mwalimu wao. ni hivyo mkuu...usifikiri mimi ni wa jana tu...tatizo la wabongo akionekana mtu anamkubali Messi kivyovyote vile mnakimbilia kwenye age.
 
Ni kweli wamepita wazuri akina Pele,Diego Maradona,Ronaldinho,Ronaldo de Lima,akina Bebeto,Romario nk..lakini Lionel messi yuko so unique!
Ukitaka Jua ubora wake angalia mambo ayafanyayo kwenye pitch, apatapo mpira..Mara nyingi huwezi jua atafanya nini!,Speed,Accuracy,Ball control,Kufunga,ku assist,akili ya mpira vyote kajaliwa,
Nina amini Messi ataendelea kukumbukwa kizazi Na kizazi, binadamu wataendelea fuatilia video za match alizoshiriki miaka mingi ijayo muda atakapokua hayupo Duniani yote sababu ya uchezaji wake wa kuvutia.
Sasa nayakumbuka Maneno ya Kocha wa Arsenal Mzee Wenger kua anavyoamini yeye uchezaji wa Lionel Messi ni sawa Na mchezaji wa kwenye machine(PlayStation)


Amefanikiwa nini na timu ya taifa lake?
 
Ni mchezaji bora asiye na mafanikio kwenye kikosi cha Team ya Taifa lake kama akina okocha tu

kwangu Gaucho ndo bora
 
Back
Top Bottom