So Leo unakubali kuwa Messi kamzidi Maradona??Haters lazima waje wapinge tu 😀😀😀 yani siku ukianzisha mada "Messi ni mchezaji wa kawaida kuwahi kuokea"watukuunga mkono" binadamu bwana tunaishi kuchukiana tu,,, tena bila sababu....Wabongo bana vichekesho 😀😀😀
Nilimuona huyo dinho kweli ni mzuri sikatai hata maradona...lkn kuna vitu Fulani adimu hawana haoLabda umeanz kufuatilia mpira baada ya dinho kuach soka
1958mpira umeanza kupenda lini?
1,duu kinaa=haina shidatest questions for you:
1. msemo wa dukinah! ulitumika mwaka gani hapa TZ?
2. jeifongo ni kitu gani? ilitumika hapa Tanzania mwaka gani?
3. lini ulisikia mara ya kwanza neno veve au les kamalee?
1,duu kinaa=haina shida
2,Jeifongo=ni Gari za kijeshi zilikua maarufu miaka ya19 79 hapa Tz
3,Veve=Bendi ya muziki wa dansi miaka hiyo likipigwa kwa santuli Mimi Na bibi yenu hata kama tunakula chakula tunaacha kwa muda tunasakata bumping
UNALAZIMISHA WOTE WAMPENDE,RANGI PIA ZIKO NYINGI MBONA KILA MTU ANAPENDA YA KWAKE.Haters lazima waje wapinge tu 😀😀😀 yani siku ukianzisha mada "Messi ni mchezaji wa kawaida kuwahi kuokea"watukuunga mkono" binadamu bwana tunaishi kuchukiana tu,,, tena bila sababu....Wabongo bana vichekesho 😀😀😀
kwa haya majibu kwanza nimegundua kuna mtu kakujibia halafu ww bado mdogo.
1. dukinah umepatia kuwa maana yake ni haina tabu
2. jeifongo zilikuja wakati wa vita vya msumbiji 1974-75 sio 1976
3. veve ni kweli ni bendi ya muziki lakini hukuwa specific inatoka wapi. yote yasema wewe ni wa juzi juzi.
Nikipiga hesabu unavyomsifia messi nakukadiria umezaliwa kwenye 1989 na hapo nimekupendelea maana hiyo ya bibi yetu ni exaggeration usioiweza kabisa.
Sasa kulikuwa na manguli wengi wenye vitu vya ajabu waliopata kuwepo kabla ya messi. sisi tunaona hii repetition kama ambavyo utakuja msimulia mtoto wako huko 2050s
Messi sio bnadamu,..conspiracy znasema kua ni moja ya project ya human clones ambazo ziko dunian kutestiwa..hahahahah
Punguza hasira...naomba tu ukubali kua messi ni jiwe tena jiwe kweli kweli..KUBALI WEWE...USILAZIMISHE WATU WAKUBALI HATUKO KWENYE UDICTATOR
Sema wewe sasa Nani zaidi kwa sasa duniani ktk soka?tupe Rangi uipendayo tulinganisheUNALAZIMISHA WOTE WAMPENDE,RANGI PIA ZIKO NYINGI MBONA KILA MTU ANAPENDA YA KWAKE.
hiyo ni kwako sasa uliyekaririPunguza hasira...naomba tu ukubali kua messi ni jiwe tena jiwe kweli kweli..