BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Messi ni habari nyingine dunian, wampe tu Ballon dio yake mwaka huu, yule wa mipira ya kutengewa toka Madrid bado sana.
You know you’re unnecessarily sarcastic dude. Kujua kama umri wako wewe ni mdogo kunatoka na viashiria fulani ulivyonavyo na uwezo wangu wakukuprofile hasa pale unapofikiri uko soo analytical. I told you what your king does is a repetition. Just understand.Kuna kitu huwa kinashangaza mno,, nimegundua baadhi ya mishabiki ya bongo mara nyingi huwa inajifanya inajuwa sana mpira kuliko wenzetu i meant europe n.k
So yeyote anayemkubali Messi atakuwa amezaliwa miaka ya 80 kuja juu sio?? wakubwa je hawamo? Kwanini umkadirie mwenzio amezaliwa kwenye 1989? Umejuwaje??
Wachezaji wengi wamepita wakina Diego Pele alfredo puskas zidane cruyff n.k..lakini King is marvellous/wakipekee kuwahi kutokea...yeye ni bora uwanjani kama mshambuliaji, kiungo, winger, kua assist,
Kutengeneza nafasi, master wa passes, master of freeckick, kudribble, tackling yani inshort King Messi ni Mchezaji aliyekamilika. So Huwezi mlinganisha na vitu vya kijinga mkuu.
Jitahidi...ipo siku woooooooote tutakuamini...jitahidi tu.
You know you’re unnecessarily sarcastic dude. Kujua kama umri wako wewe ni mdogo kunatoka na viashiria fulani ulivyonavyo na uwezo wangu wakukuprofile hasa pale unapofikiri uko soo analytical. I told you what your king does is a repetition. Just understand.
Kwa majibu haya ina maana hata wenger amejibu upuuzi kusema Messi ndie mchezaji bora muda wote? Unawazungumzia vipi akina Jose Mourinho, Ancelloti n.k? Wote hawa wamezaliwa miaka 80 kuja juu?kwa haya majibu kwanza nimegundua kuna mtu kakujibia halafu ww bado mdogo.
1. dukinah umepatia kuwa maana yake ni haina tabu
2. jeifongo zilikuja wakati wa vita vya msumbiji 1974-75 sio 1976
3. veve ni kweli ni bendi ya muziki lakini hukuwa specific inatoka wapi. yote yasema wewe ni wa juzi juzi.
Nikipiga hesabu unavyomsifia messi nakukadiria umezaliwa kwenye 1989 na hapo nimekupendelea maana hiyo ya bibi yetu ni exaggeration usioiweza kabisa.
Sasa kulikuwa na manguli wengi wenye vitu vya ajabu waliopata kuwepo kabla ya messi. sisi tunaona hii repetition kama ambavyo utakuja msimulia mtoto wako huko 2050s
Mkuu umeniwahi.Wangelikuwa wanafuata perfomance naamini Messi angelikuwa na ballon 10 mpaka sasa.
SIYO MCHEZO!!!!!Sasa nayakumbuka Maneno ya Kocha wa Arsenal Mzee Wenger kua anavyoamini yeye uchezaji wa Lionel Messi ni sawa Na mchezaji wa kwenye machine(PlayStation)
Ili ndio jibu lao.haters wote.Umekosea sana Mkuu, Messi sio mchezaji wa kawaida.
Messi ni Mnyama asiyejulikana aliyetokea Sayari isiyojulikana!!!!
INASEMEKANA KUWA WANAOMCHUKIA MESSI WAPO KWENYE HATARI KUBWA SANA YA KUPUNGUZA UWEPO WA MAISHA YAO HAPA DUNIANI.
Kwa majibu haya ina maana hata wenger amejibu upuuzi kusema Messi ndie mchezaji bora muda wote? Unawazungumzia vipi akina Jose Mourinho, Ancelloti n.k? Wote hawa wamezaliwa miaka 80 kuja juu?
hahaaaaMessi sio bnadamu,..conspiracy znasema kua ni moja ya project ya human clones ambazo ziko dunian kutestiwa..hahahahah
Nyie jamaa vipi? Kwani wenger ndio fact checker wa mpira?Kwa majibu haya ina maana hata wenger amejibu upuuzi kusema Messi ndie mchezaji bora muda wote? Unawazungumzia vipi akina Jose Mourinho, Ancelloti n.k? Wote hawa wamezaliwa miaka 80 kuja juu?