Dr Guitar tz
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 312
- 247
- Thread starter
-
- #61
Messi ana mengi,a lot of skillsKwasababu ya vile vigoli vya Jan au? mbona cr7 anazitupia kila mechi. Acheni ushabiki wa kinfki
Dukinaa - Dangacheetest questions for you:
1. msemo wa dukinah! ulitumika mwaka gani hapa TZ?
2. jeifongo ni kitu gani? ilitumika hapa Tanzania mwaka gani?
3. lini ulisikia mara ya kwanza neno veve au les kamalee?
Wengine tumeanza kufuatilia soka kitambo tu toka enzi za Maradona lakini hakuna kama Mesi katika Dunia hii, mi si mshabiki wa Barcelona wala Argentina ila ni mshabiki wa kufa na kupona wa France lakini Mesi ni baba lao Ronadinho ni fundi lakini Mesi ni mwalimu.Labda umeanz kufuatilia mpira baada ya dinho kuach soka
Eti anakuwa pekeyake , sikuhizi hamna sheria ya offside?[emoji23]Messi ana mengi,a lot of skills
zaidi ya kufunga
Kweli Cr 7 anafunga kweli anajitahidi target ya goal lkn waweza kuta ni kati ya waviziaji bora Duniani yaani kundi la kina Chicharito,haangaiki ndio kisa anapofunga Mara nyingi anakua peke yake,Chunguza
Messi hamfikii hata LingardMessi anawanyima usingizi hawa viumbe. Mi ntakuambia kitu kamanda...hawa watu tena ni wachache sana wanaompinga Messi hata 50 hawafiki humu jamiiforrums. So wanajuwa kabisa Messi ndiye mchezaji ambae hana mpinzani mpaka sasa,, wanajuwa kabisa yeye ni bora uwanjani kama mshambuliaji, kiungo, winger, kua assist,
Kutengeneza nafasi, master of passes, master of freeckick, kudribble, tackling..yani wanajuwa kabisa Messi ni Mchezaji aliyekamilika/kuwahi kutokea...except ni wivu na chuki zinawasumbua watu hawa. Kama ulivyonena haya maneno INASEMEKANA KUWA WANAOMCHUKIA MESSI WAPO KWENYE HATARI KUBWA SANA YA KUPUNGUZA UWEPO WA MAISHA YAO HAPA DUNIANI.
Faza hujaujua mpira kaka ukipata nafasi tu fatilia mechi za kombe la Dunia 1994,1998,2002 pamoja na Euro 2000 hapo ndo utagundua viumbe wa ajabu walioata kuwepo katika dunia hii huyo Messi hata robo haingi hata kwa Africa anza na mpira waliokuwa wakicheza kina Okocha, G weah, Amunike wazee wa chenga hawa, Elhaj Diof na wengine wengi tu fatilia utamuona Messi wa kawaida mno sema anacheja mpira kipindi ambacho soka ni biashara na si burudaniKuna kitu huwa kinashangaza mno,, nimegundua baadhi ya mishabiki ya bongo mara nyingi huwa inajifanya inajuwa sana mpira kuliko wenzetu i meant europe n.k
So yeyote anayemkubali Messi atakuwa amezaliwa miaka ya 80 kuja juu sio?? wakubwa je hawamo? Kwanini umkadirie mwenzio amezaliwa kwenye 1989? Umejuwaje??
Wachezaji wengi wamepita wakina Diego Pele alfredo puskas zidane cruyff n.k..lakini King is marvellous/wakipekee kuwahi kutokea...yeye ni bora uwanjani kama mshambuliaji, kiungo, winger, kua assist,
Kutengeneza nafasi, master wa passes, master of freeckick, kudribble, tackling yani inshort King Messi ni Mchezaji aliyekamilika. So Huwezi mlinganisha na vitu vya kijinga mkuu.
iwe iwavyo mwache kila mtu achague atakacho,wewe chagua chako waachie wengine vilivyobakia.sio unachagua halafu unataka na wenzio hivyo hivyo.usifosi mfanane.mimi humzungumzia gaucho tu ndio lilikua chaguo langu la mwisho kuliona.Sema wewe sasa Nani zaidi kwa sasa duniani ktk soka?tupe Rangi uipendayo tulinganishe
Faza hujaujua mpira kaka ukipata nafasi tu fatilia mechi za kombe la Dunia 1994,1998,2002 pamoja na Euro 2000 hapo ndo utagundua viumbe wa ajabu walioata kuwepo katika dunia hii huyo Messi hata robo haingi hata kwa Africa anza na mpira waliokuwa wakicheza kina Okocha, G weah, Amunike wazee wa chenga hawa, Elhaj Diof na wengine wengi tu fatilia utamuona Messi wa kawaida mno sema anacheja mpira kipindi ambacho soka ni biashara na si burudani
Mleta uzi kaziliwa kipindi cha mwisho cha JakayaNamshukuru Mungu, nimemuona Ronaldinho kwa macho yangu akiutendea haki mpira. Best ever seen.
Ni kweli wamepita wazuri akina Pele,Diego Maradona,Ronaldinho,Ronaldo de Lima,akina Bebeto,Romario nk..lakini Lionel messi yuko so unique!
Ukitaka Jua ubora wake angalia mambo ayafanyayo kwenye pitch, apatapo mpira..Mara nyingi huwezi jua atafanya nini!,Speed,Accuracy,Ball control,Kufunga,ku assist,akili ya mpira vyote kajaliwa,
Nina amini Messi ataendelea kukumbukwa kizazi Na kizazi, binadamu wataendelea fuatilia video za match alizoshiriki miaka mingi ijayo muda atakapokua hayupo Duniani yote sababu ya uchezaji wake wa kuvutia.
Sasa nayakumbuka Maneno ya Kocha wa Arsenal Mzee Wenger kua anavyoamini yeye uchezaji wa Lionel Messi ni sawa Na mchezaji wa kwenye machine(PlayStation)
Mkuu nimekuelewa sanaWe unajua mpira ulianza kuchezwa miaka ya 270 BC.
Unaanzaje kusema Messi ni bora kuwahi tokea, sema tu katika wachezaji ulio waona katika maisha yako una mpenda Messi.
Ni mchezaji bora asiye na mafanikio kwenye kikosi cha Team ya Taifa lake kama akina okocha tu
kwangu Gaucho ndo bora