Kifaurongo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 4,221
- 2,359
Mkuu, hawa Chadema wanajidai kuruka njia ya kutafuta chanzo cha tatizo na kurukia kwenye jibu la tatizoHuo ndio ukweli, barua ya 19 Nov 2020 yenye majina ya wateule ilipelekwa na nani? Tunaambiwa ina saini ya KM alisaini kwa idhini ya nani na kama si yeye, fojali hii imefanywa na nani? sioni kiongozi wa Chadema anayehangaika kueleza hili tukawaelewa. Ndio maana tunajiuliza wateule waandamizi 19 waandamane na wapambe wao kwenda Dodoma, bila viongozi na waume zao ambao wengine ni makada wa chama wasijue? Kigogo2014 awe na taarifa viongozi wawe wamelala inawezekanaje hili?
Asante Mchawi ila endelea na shughuli zako hatuko tayari kumsikiliza mchawi.Hata mchawi hutoa ushauri na ukaifaa jamii, Usiwe mjinga mkuu!!
Mkuu usikaliliMdee njoo na akaunti yako halisi tujenge hoja vizuri.
Kama kuna jambo la kipuuzi kuliko lolote ambalo Watanzania hatupaswi kukubali, ni hili la Tume kughushi nyaraka. Serikali inahusika kuchezea uchaguzi
Mkuu, tatizo lililopo hapa, ni kutoa maoni bila kupitia Kwanza madaKwa akili zako unahisi HALIMA MDEE, ESTER BULAYA na ESTHER MATIKO aligombea VITI MAALUM..? kama waligombea vipi waligombea nafasi mbili kwa wakati mmoja..?
Moja ya maoni mabovu kuwahi kutokea hapa JF. Sijui kama hiyo simu unatumia ni ya kwako au ya shemeji yako. Ajabu kabisa.Mbona mnahangaika Sana na CHADEMA badala ya kushughulikia ufisadi ndani ya CCM?
Mnatumia fedha nyingi za walipa kodi maskini kurubuni na kununua watu, afu unaleta porojo!
Kwani Nani kakwambia kwamba kuwa mwana CCM ndio unakuwa ni kuishi huko mileleMkuu mbona unajikanganya!?, mara ujifanye chadema mara mshauri, embu rudia kusoma andiko lako.
Ushauri gani zaidi ya porojo tu alizoandika.Hata mchawi hutoa ushauri na ukaifaa jamii, Usiwe mjinga mkuu!
Mdee, Anasema anaenda kufungua kesi ya kufukuzwa chamani bila utaratibu, hoja yake akiijengea kwenye Saini ya katibu mkuu Chadema kwamba, barua ya uteuzi iliidhinishwa na katibu mkuu,Ila wewe na team yako mmezichanga vyema.
Una deal na mfumo bila ku deal na akina Mdee? Na unaweza kuwa ni graduate!Tumia Ubongo wako kutawala maamuzi yako mkuu!
Ukiambiwa kuthibitisha sijui utaanzia wapi, Soma Kwanza nilichoandika na uelewe ndipo uniponde
Ni wakati gani unapaswa uthibitishe Jambo bila ya chembe ya Shaka yoyote?
Wewe kwa kiwango chako unaona Mdee amefukuzwa bila utaratibu? Kwa akili yako 'saini' ya KM ni hoja ambayo Mdee anaweza kuitumia? Kabisa?Mdee, Anasema anaenda kufungua kesi ya kufukuzwa chamani bila utaratibu, hoja yake akiijengea kwenye Saini ya katibu mkuu Chadema kwamba, barua ya uteuzi iliidhinishwa na katibu mkuu,
Hoja inakuwa, Je ni kweli ama zote hizo zilikuwa ni Mbinu za kisiasa?
Kama ni kweli, Chadema mtaficha wapi nyuso zenu?
Ni bora sasa Chadedma wangeanza kutafuta ukweli wa barua inayodaiwa kutoka Kwa KM ndipo kina Mdee wafukuzwe