Tukubali tukatae, CHADEMA haikuzichanga vema karata zake wakati wa kushughulikia usaliti wa Wabunge 19

Tukubali tukatae, CHADEMA haikuzichanga vema karata zake wakati wa kushughulikia usaliti wa Wabunge 19

Umerogwa na uchama Wewe, na iko siku unaweza kuwa kiongozi wa kitaifa na badala ya kutumikia watu na Taifa, ukatumikia Chama, Wakati mwingine usishikwe Sana na mambo ya Chama, jadili hoja!!
MATAGA bado mpo karne ya 12, zama za mawe za kale, huwezi leta hoja ki-MATAGA ikajadiliwa kisomi, never
 
Mkuu achana na wapambe wa kitu inaitwa chama! Hata m/kiti wa Chama akijiharishia atasema, ni mfumo tu maji ulijichanganya
Ha ha ha ha a, hii kali hii, kama Ndugai leo kumwonea huruma Mdee aliyevunjwa mkono na Askari magereza, duh, Mungu yupo aisee, shetani huwa anatubu.
 
Hao wakina Mdee wametolewa kafara tu ya kutukanwa na kuonekana wasaliti ila walichokifanya ni mpango wa chama na si kwamba et walikurupuka na tamaa zao tu.
Na hata Mimi ndio wasiwasi wangu!

Kwa nini wasianzie kutafuta ukweli wa Ile saini iliyohusishwa kuwa Ndiyo ya KM Chama?
 
Kabla ya kuangalia detail, ukweli kwamba wanawake vinara 19 katika chama wamekubali kuapishwa kupata ubunge, uliotokana na uchaguzi ambao CHADEMA imesema haiutambui kwa kuwa haukuwa wa huru na haki, unaonesha chama kina matatizo makubwa tu katika kujipanga wote kwenda pamoja.
 
Mkuu, nimekuelewa Sana boss
 
Wangezichanga kivipi, hebu twambie. Unajufanya hukuyaona haya. Wangezichanga vipi, sasa? Ama ulitaka waende msituni?

1606748161993.png
 
Tumia Ubongo wako kutawala maamuzi yako mkuu!

Ukiambiwa kuthibitisha sijui utaanzia wapi, Soma Kwanza nilichoandika na uelewe ndipo uniponde

Ni wakati gani unapaswa uthibitishe Jambo bila ya chembe ya Shaka yoyote?
Ndugu paul, je Ni Nani mwenye jukumu la kushughulikia rushwa hapa nchini? Ni chadema? Na Kama Kuna rushwa maana yake Kuna mtoaji na mchukua rushwa. Kwa hiyo Takukuru Ndio tufanye kazi yake.

Kama hoja zako Zina nguvu je, kwa Nini ho covid19 hawakufika kwenye kamati kujibu hoja na kuthibitisha kuwa walipewa ruhusa na chama?
Unadhani kwa Nini time ya uchaguzi Hadi leo haijaleta ushahidi kuwa Kuna barua toka kwa katibu mkuu I'll kuondoka utata?
Kwa Nini Nusrat atolewe usiku ili asubuhi akaape gereji kwa spika?
Haya ni maswali rahisi Ila majibu yake Ni magumu Ndio maana Ndugai anaruka Kama maharage yanakariabia kuiva.
 
Hakuna kiongozi yeyote amekubali kuandika hiyo barua sasa wamepata wapi barua? Kama wamefanya kugushi ni haki kufukuzwa
 
Aliyevuliwa uanachama na chama chake hastahili kuwa Mbunge wa viti maalum eti akiendelea kuwakilisha chama chake. Wahuni wa maccm watafanya watakavyo hata kama ni kinyume cha katiba. Chadema hawastahili kubadili chochote katika katiba yao ili kuwaridhisha maccm.
Hoja yako nimeilewa vizuri na sio Chadema tu hata vyama vingine vya upinzani vijifunze kwenye hili suala. Kama hawatabadilisha jinsi ya kupata wawakilishi wa viti maalum basi wataendelea kuchezewa hizi rafu kila uchaguzi.
 
Wangezichanga kivipi, hebu twambie. Unajufanya hukuyaona haya. Wangezichanga vipi, sasa? Ama ulitaka waende msituni?

View attachment 1638526
Mnajua kujitoa ufahamu ninyi, toka lini kiganja cha mwanamme kikawa kwenye mwili wa mwanamke? Kwa akili zako hilo sanduku lina tundu la kuingia hilo fuko? Mjinga gani ataingiza fuko la kaki kwenye transparent ballot box? Mnadanganywa na photoshop mnashupalia shingo?
 
Nimecheka kwa nguvu, eti ccm ipo vizuri kiuchumi. Zunguka nchi nzima angalia majengo ya ccm yana hali gani, kisha ulete mrejesho. Ccm haina hali yoyote nzuri kiuchumi, bali mwenyekiti wake anaweza kuchota pesa hazina na kuzitumia atakavyo. Unasema wafuatilie kujua mbinu chafu za ccm, unapokuwa na serikali iliyokosa uadilifu, usitegemee kuhoji chochote kilichoagizwa na serikali hiyo ukafanikiwa.
 
Mnajua kujitoa ufahamu ninyi, toka lini kiganja cha mwanamme kikawa kwenye mwili wa mwanamke? Kwa akili zako hilo sanduku lina tundu la kuingia hilo fuko? Mjinga gani ataingiza fuko la kaki kwenye transparent ballot box? Mnadanganywa na photoshop mnashupalia shingo?
Daah'!! Umenifumbua macho mkuu,sikuwahigi kuangalia Kwa umakini picha hiyo! Hahaha hahaa!!
 
Hii hoja niya kipumbavu maana hizo documents ni fojari...

Lazima spika awe na namna ya kuverify that nonsense,huwezi apisha sababu kuna mtu kaleta karatasi...

Kuna procedure,kufikia hizo karatasi....nothing was done!

Halafu upo hapa kutetea hoja hii mavi?

Nimefika kwenye neno "LUMANSI" nikaacha kusoma haya mavi...

Mavi matupu na mleta mada ni mavi matupu
Kunywa maji kidogo mkuu ili hasira zikuishe then uje kwenye mada mkuu, matusi yanawafaa wajinga pekee!! Nachoamini wewe si hao wajinga!!
 
Wewe utakuwa upo ofisi moja na Ndugai, Mnachokifany akina mwisho, ukiishi kwa kudhuluma utakufa kwa dhuluma
 
Back
Top Bottom