paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,499
- Thread starter
- #41
Hata asipoitumia mkuu, nachoweza kuhitimisha ni kwamba, mpaka kina Mdee wanaenda kuapa, walisimamia kitu kinachoitwa, Barua iliyosainiwa na KM, huoni kwamba sasa ili kuhalalisha uovu wa kina Mdee ni pamoja na kutafuta ukweli juu ya Hilo mkuuWewe kwa kiwango chako unaona Mdee amefukuzwa bila utaratibu? Kwa akili yako 'saini' ya KM ni hoja ambayo Mdee anaweza kuitumia? Kabisa?