Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa chama chako au chake?Mdee, Anasema anaenda kufungua kesi ya kufukuzwa chamani bila utaratibu, hoja yake akiijengea kwenye Saini ya katibu mkuu Chadema kwamba, barua ya uteuzi iliidhinishwa na katibu mkuu,
Hoja inakuwa, Je ni kweli ama zote hizo zilikuwa ni Mbinu za kisiasa?
Kama ni kweli, Chadema mtaficha wapi nyuso zenu?
Ni bora sasa Chadedma wangeanza kutafuta ukweli wa barua inayodaiwa kutoka Kwa KM ndipo kina Mdee wafukuzwe
Chake!!Wa chama chako au chake?
Kama mnavyo laumu kuwa mfumo ndio sababu ya umasikini wetu na siasa mbovu nchini, kama ndio hivyo, Jambo la mhimu ni kujikita kudeal na mfumo kwanza unaosababisha kina Mdee na wengine kuhongeka kirahisiUna deal na mfumo bila ku deal na akina Mdee? Na unaweza kuwa ni graduate!
Kama mnavyo laumu kuwa mfumo ndio sababu ya umasikini wetu na siasa mbovu nchini, kama ndio hivyo, Jambo la mhimu ni kujikita kudeal na mfumo kwanza unaosababisha kina Mdee na wengine kuhongeka kirahisiUna deal na mfumo bila ku deal na akina Mdee? Na unaweza kuwa ni graduate!
Duh!!ingekuwa ni chadema basi nguvu yao kubwa mpk kuweza kumtoa nusrat henje gerezani,kweli chadema chama dora
Wewe ndo hujaelewa hapo inawezekana vipi chadema waweze kuachia barua huku hawana uhakika wa kiongozi wao aliyepo rumande asiyejulikana anatoka lini na pili imewezekana vp mtuhumiwa akaweza kutolewa usiku wa Giza then kesho yake akaapishwa?fomu alijaziwa na Nani kwa kipind hiko kifupi?tuwage na akili watzDuh!!
Mkuu, hujaelewa
Chadema wamefanya makosa makubwa kuwafukuza wabunge wake bila kujiridhisha ukweli wa Jambo hiloMbona unajihami kwanza na TUKUBALI TUKATAE? Unajua kabisa hoja yako haina mantiki!
Ukweli wa jambo gani? Hoja ya Chadema ni Halima na wenzake kutofuata utaratibu wa kuteuliwa na chama na hilo linasomeka katika maandishi na kila mmoja wao analijua. Ukweli gani unaosemea?Chadema wamefanya makosa makubwa kuwafukuza wabunge wake bila kujiridhisha ukweli wa Jambo hilo
Hoja ya kushindwa Chadema inachamgiwa na vitu vingi tu,Ukweli wa jambo gani? Hoja ya Chadema ni Halima na wenzake kutofuata utaratibu wa kuteuliwa na chama na hilo linasomeka katika maandishi na kila mmoja wao analijua. Ukweli gani unaosemea?