Tukubali tukatae, CHADEMA haikuzichanga vema karata zake wakati wa kushughulikia usaliti wa Wabunge 19

Tukubali tukatae, CHADEMA haikuzichanga vema karata zake wakati wa kushughulikia usaliti wa Wabunge 19

Mdee, Anasema anaenda kufungua kesi ya kufukuzwa chamani bila utaratibu, hoja yake akiijengea kwenye Saini ya katibu mkuu Chadema kwamba, barua ya uteuzi iliidhinishwa na katibu mkuu,

Hoja inakuwa, Je ni kweli ama zote hizo zilikuwa ni Mbinu za kisiasa?

Kama ni kweli, Chadema mtaficha wapi nyuso zenu?

Ni bora sasa Chadedma wangeanza kutafuta ukweli wa barua inayodaiwa kutoka Kwa KM ndipo kina Mdee wafukuzwe
Wa chama chako au chake?
 
Mbinu yenu chovu ya kutumia wapinzani kuumaliza upinzani huu ndio mwisho wake. Ifahamike kuwa upinzani Tizii sio CDM wala CUF bali na mioyo ya Watanzania. Kuna maelfu ya mashujaa kama Mdee ama Bulaya.
 
Hayo mambo ya kughushi saini si ndio ada kwa CCM? Au unasahau walivyokuwa wakighushi saini kuwa Chadema kimewafukuza mameya wake kwenye uanachama? Sasa unataka waache hoja ya kisera waanze kujadili mambo ya kijinai? Unadhani kama kuna jinai polisi wangekuwa bado hawajachukua hatua!?
 
2017, CCM ilimfukuza Sophia Simba (akiwa mwenyekiti wa UWT na mbunge wa VM) kwa tuhuma zikiwepo kumuunga mkono Edward Lowassa (aliyehamia CCM wakati huo). Lakini Ndugai hakusimama kusema CCM hii ya Magufuli inawanyanyasa wanawake. Ikawasamehe wanaume na kumpa adhabu mwanamke.
 
Chadema ispoamua kukomesha Kwanza hujuma za upande wa pili, kila mara itabidi wafukuzane chamani
 
Una deal na mfumo bila ku deal na akina Mdee? Na unaweza kuwa ni graduate!
Kama mnavyo laumu kuwa mfumo ndio sababu ya umasikini wetu na siasa mbovu nchini, kama ndio hivyo, Jambo la mhimu ni kujikita kudeal na mfumo kwanza unaosababisha kina Mdee na wengine kuhongeka kirahisi

Kama hatuto deal na mifumo hiyo kandamizi, Mtafukuza watu wengi Sana bado
 
Ingekuwa ni Chadema basi nguvu yao kubwa mpk kuweza kumtoa Nusrat Henje gerezani,kweli Chadema chama dora
 
Duh!!
Mkuu, hujaelewa
Wewe ndo hujaelewa hapo inawezekana vipi chadema waweze kuachia barua huku hawana uhakika wa kiongozi wao aliyepo rumande asiyejulikana anatoka lini na pili imewezekana vp mtuhumiwa akaweza kutolewa usiku wa Giza then kesho yake akaapishwa?fomu alijaziwa na Nani kwa kipind hiko kifupi?tuwage na akili watz
 
Mbona unajihami kwanza na TUKUBALI TUKATAE? Unajua kabisa hoja yako haina mantiki!
Chadema wamefanya makosa makubwa kuwafukuza wabunge wake bila kujiridhisha ukweli wa Jambo hilo
 
Chadema wamefanya makosa makubwa kuwafukuza wabunge wake bila kujiridhisha ukweli wa Jambo hilo
Ukweli wa jambo gani? Hoja ya Chadema ni Halima na wenzake kutofuata utaratibu wa kuteuliwa na chama na hilo linasomeka katika maandishi na kila mmoja wao analijua. Ukweli gani unaosemea?
 
Ukweli wa jambo gani? Hoja ya Chadema ni Halima na wenzake kutofuata utaratibu wa kuteuliwa na chama na hilo linasomeka katika maandishi na kila mmoja wao analijua. Ukweli gani unaosemea?
Hoja ya kushindwa Chadema inachamgiwa na vitu vingi tu,

Na Kwa nini hasira za kususa Bunge ambazo hazina hata mshiko, shughurikieni Tume nje na ndani ya Bunge Kwa kuwaruhusu wabunge wenu waingie bungeni
 
Back
Top Bottom