Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
MATAGA bado mpo karne ya 12, zama za mawe za kale, huwezi leta hoja ki-MATAGA ikajadiliwa kisomi, neverUmerogwa na uchama Wewe, na iko siku unaweza kuwa kiongozi wa kitaifa na badala ya kutumikia watu na Taifa, ukatumikia Chama, Wakati mwingine usishikwe Sana na mambo ya Chama, jadili hoja!!