Tukubali tukatae, CHADEMA haikuzichanga vema karata zake wakati wa kushughulikia usaliti wa Wabunge 19

Unapotokea uchafuzi hauwezi kuwa na mkakati/mpango wa kuukabili. Unafanya maamuzi kwa misingi ya sheri ziliopo kulingana na hali hiyo. Huwezi kupanga namna ya kumkabili mwizi ila utatumia ulichonacho kumkabili kwa jinsi alivyokuvamia.
 
Waliozichanga vema hapa ni ACT pekee, siasa sio kelele na kuzila
 
Unapotokea uchafuzi hauwezi kuwa na mkakati/mpango wa kuukabili. Unafanya maamuzi kwa misingi ya sheri ziliopo kulingana na hali hiyo. Huwezi kupanga namna ya kumkabili mwizi ila utatumia ulichonacho kumkabili kwa jinsi alivyokuvamia.
Itajulikana tu, Nani ni Nani?

Tuliwaambia hamkuelewa, Chama kikiwa kimebebwa na mtu na sio watu, matokeo yake ndio haya
 
Hoja ya kushindwa Chadema inachamgiwa na vitu vingi tu,

Na Kwa nini hasira za kususa Bunge ambazo hazina hata mshiko, shughurikieni Tume nje na ndani ya Bunge Kwa kuwaruhusu wabunge wenu waingie bungeni
Mabavu ya mtu,dola,taasisi zizilogeuza majukumu yake na kugeuka mbeleko chama na nyenzo zake.
 
Tumia Ubongo wako kutawala maamuzi yako mkuu!

Ukiambiwa kuthibitisha sijui utaanzia wapi, Soma Kwanza nilichoandika na uelewe ndipo uniponde

Ni wakati gani unapaswa uthibitishe Jambo bila ya chembe ya Shaka yoyote?
Wewe unakwepa ukweli na unajua kuwa mifumo ya sheria haifanyia kazi, kumbuka hata Msekwa mmoja wa waandika katiba wa nchi hii alisema wale covid 19 siyo wabunge sasa unatarajia nini hapo. Chama kimekwisha kutoa hukumu na mifumo na mihimili mingine ingefanya kazi
 
Hakuna bunge ni uchafu mtupu mamluki watupu bunge liilopita kunamtu alijivua unachama hadharani tukashanga yupo bungeni tena kaletwa na spika hivikweli tunajielewa
 
Tukubali ama tukatae, ukweli ni kwamba, CHADEMA haikuliangalia suala hili la kina Mdee na wenzake Kwa umakini kama chama

Hoja ya kina Mdee ni kwamba! waliapa kulitumikia Taifa kama wabunge wa kuteuliwa kwa sababu ipo barua iliyotoka Kwao CHADEMA yenye Baraka zote ya wao kufanya hivyo!

Ndugu zangu ni kwamba!

Pesa ni Adui wa haki, na kiukweli linapokuja swala la pesa, wenye kubaki salama ni wachache Sana na huenda hata tuliomo humu tusipone,

Tukumbuke, CCM Kwa sasa ni taasisi ambayo kiuchumi iko vizuri kuliko Wakati wowote, na kama kweli inatumia pesa zake kuvunja vunja nguvu za wapinzani wake, maana yake vyama pinzani havihitaji kukurupuka kwenye uamzi wake kushughurikia wale wanaodaiwa wanahongwa na CCM

Katika suala ambalo limehusisha wabunge wanawake kutoka Chama cha CHADEMA na namna ambavyo limeshughulikiwa, kuna dosari, na dosari hizi ndizo zitakazoifanya CCM iendelee kutumia fimbo hiyo kuviua Vyama pinzani hasa Vyama vinavyoibukia kupata umaarufu Kwa sababu ya kushindwa namna nzuri ya kudili na mienendo na Tuhuma hizo kutoka CCM

Ikumbukwe pia kwamba, zimekuwepo tu tuhuma za kuituhumu CCM kuwa inanunua watu!! Kina Tomaso tunaka uthibitisho wa Hilo

Ndiyo, Inawezekana kweli kina Mdee wamekula shere na CCM ili kuhujumu nguvu ya Chama Chao, na kama Hilo limefanyika, ndipo unaiona nguvu ya fedha inavyoweza kuangamiza hata taasisi imara kabisa, na tukumbe kipindi cha nyuma, Pesa hiyohiyo iliweza kununua Chama chote cha Chadema kupitia mgombea mmoja wa Uraisi aliyevumaga sana enzi hizo

Na kama CHADEMA wanataka Chama Chao kipone, basi kinatakiwa kudili na Mbinu hizi mbovu kutoka CCM ili kuweza kukinusuru Chama Chao, ni kudili na kila Aina ya michezo mibovu inayosababisha mvurugano kwa Chama Chao! Ile saini inayodaiwa ni ya katibu mkuu chama, ndio ingelikuwa ni Jambo la kuanza nalo ndipo kina Mdee wafuate!!

Mf. Mdee na wenzake, wanasema, wao wamepewa Baraka zote za kushiriki Bunge Kupitia ofsi ya KM Chadema,

CHADEMA isingedili moja Kwa moja na kina Mdee, badala yake ingedili na huo mfumo uliosababisha kina Mdee waape bungeni!! Yaani wafuatilie Kwanza hiyo saini inayohusishwa Kutokea kwenye ofs za CHADEMA kwamba ilitokea wapi na nani anahusika.

Naamini ingebainika, na kama ingebainika, moja Kwa moja inahusisha Chama cha CCM, CCM tungeidharau watu wengi sana na endapo wangelikumbatia Kwa namna yoyote Ile, wao CCM lingewaletea matatizo makubwa ya kuaminika Kwa wananchi kuhusu swala la kushughurikia Rushwa nchini.

Kilicho fanyika Kwa CHADEMA sasa, ni kujaribu kufunika kidonda Kwa bandage bila dawa yake, bado kina Mdee wengine wataendelea kupigwa pesa humo ndani ya CHADEMA na kuendelea kufukuzwa, Zifedhehesheni Kwanza njia mbovu mnazozituhumu Kutokea CCM.

CHADEMA tujitahidi Sana kudili na mifumo na ujanja ujanja wa CCM kutaka kuuwa Vyama vya Upinzani nchini, na endapo tutakuwa tunadili na tunodhani ni wasaliti tu wa chama, pengine huo mchezo Usiwe na kikomo, Ukiniuliza kwamba kwamba, ni Nani anayeweza kukwepa pesa za CCM zikitumwa hapo chadema, nitakwambia, Ni Lissu pekee ambaye anaweza kuzikwepa angalau Kwa 70% lakini wengine wote, hakuna atakwepa pesa hizo.

Kataeni ubaya unaotengenezwa na CCM na kuushughurikia Kisha kuanika na kutilia mashaka juu ya kile CCM wanawaaminisha wananchi na Dunia kuwa wanashughurikia na kaikomesha Rushwa, mkidhibiti Hilo mtakiponya Chama chenu na Vyama vingine vya upinzani, la sivyo zitaendelea kuwa ni tuhuma tu zisizo na msingi wowote na mtaendelea kutimua wanachama wengine wengi tu hapo kama kweli CCM inacheza mchezo huo.
Sahihisho.
CHADEMA kina ajenda ya wananchi na nchi na si kushindana na CCM. Kinapingana na CCM kwa hoja zinazoshuhudiwa na wananchi wote.
 
Usipoitoa CCM madarakani hujaanza safari ya kwenda Ikulu, sasa hapo vita yako itakuwa juu ya Nani kama si vita Kati yako na CCM
 
Acha uongo Barua haikuandikwa na Chadema
 
Usipoitoa CCM madarakani hujaanza safari ya kwenda Ikulu, sasa hapo vita yako itakuwa juu ya Nani kama si vita Kati yako na CCM
Kwa taarifa

Kwa taarifa yako waulize wateule wa CCM hakuna wanaowanusa kwenye utendaji wa kila siku. Huku mitaani kwetu CHADEMA inafanya kazi na wananchi hawana habari na serikali ya CCM.
 
Unauhakika upi?

Licha ya hivyo, kina Mdee walishakata rufaa Yao miezi miwili sasa inaelekea, mbona kimya tu hapi Ufipa?

Huoni kwamba kuna kitu nyuma ya pazia?
Inakuhusu?
Kama unatafuta Habari za CHADEMA, waulize viongozi wakupe taarifa za uhakika.
Kuna kitu kwako tu, tujuavyo sisi hao viti maalum si wanachama wa CHADEMA kwa taarifa rasmi za mwandishi.
 
shida cyo bandage na dawa shida ni docta muhusika anaweza kukupa dawa fake ikawa sawa na kutokuhudumia,mbogamboga mtachekelea kwa hilo ila tukumbuke sasa hv mafuta, cement n.k c chadema pekee wanaokoma,jk alisema za kuambiwa changanya na zako afu tuendeleee kujongea tanuri la moto kwa pamoja

Back
Top Bottom