Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Mwendazake hakuwahi kumpa u-full minister wa Wizara ya afya. Na Rais Samia alimpa mawasiliano kisha akamuacha. Lakini huyu ndiye angeweza kuwa waziri bora sana kwa Wizara ya Afya Tanzania.
Sasa hivi yeye ni candidate kwenye position ya Director of WHO- Africa region. Tumuombee apate. Asipopata basi tumuombe Rais Samia amalize tofauti zake na huyu Mbunge wa Kigamboni.
Kwa namna Wizara ya Afya ilivyo majanga sasa hivi baada ya Ummy kuboronga sioni Jenister Mhagama akifanikisha chochote. Mpeni miezi 6 tu mtairudia hiii thread.