Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
- Thread starter
- #61
Tayari kapata kazi kama WHO DIRECTOR wa AfricaMh! Hiyo CV inaweza kuwa ndio mwiba kwa hao wateuaji. Kama jamaa ni kichwa na ni dokta kiuhalisia, unahisi anaweza kupewa uwaziri wa afya ili afuate utaalamu zaidi wakati kuna muda mambo yanatakiwa yaende kinyume nyume humu bongo? Hapa hatupo nchi zilizosiriasi zinazotanguliza utaalamu, huku ni siasa.
Kitu kingine, unasema mama amalize tofauti za huyu jamaa. Kwani walishawahi kuwa na tofauti? Iweje mama apitishe jina la huyo bwana kwenda WHO kama wana tofauti?