Ukiona mtu anajiita Dkt. kama huyu, ambaye hajawahi kupractise kazi iliyompa huo udaktari yaani kuingia wodini kutibu watu..atleast miaka 5..basi tilia shaka udaktari wake, huyo ni daktari wa vyeti, ukimpeleka chumba cha upasuaji afanye hata upasuaji mdogo, usishangae akizimia..sababu siyo daktari! alisoma medicine apate vyeo km anavyofanya..wala hiyo wizara ya afya haiwezi, Magufuli alimtoa unaibu waziri kwa haki kabisa hana uwezo! Kilichomrudisha na kinachomuweka na hata kugombea hicho cheo ni rushwa na hao walio nyuma yake..hajawahi kufanya lolote la kuonekana linalolingana na elimu anayodai kuwa nayo!