Magufuli ndio alimpa hiyo iliyokuwa ya NapeView attachment 3073123View attachment 3073124View attachment 3073125View attachment 3073126
Mwendazake hakuwahi kumpa u-full minister wa Wizara ya afya. Na Rais Samia alimpa mawasiliano kisha akamuacha. Lakini huyu ndiye angeweza kuwa waziri bora sana kwa Wizara ya Afya Tanzania.
Sasa hivi yeye ni candidate kwenye position ya Director of WHO- Africa region. Tumuombee apate. Asipopata basi tumuombe Rais Samia amalize tofauti zake na huyu Mbunge wa Kigamboni.
Kwa namna Wizara ya Afya ilivyo majanga sasa hivi baada ya Ummy kuboronga sioni Jenister Mhagama akifanikisha chochote. Mpeni miezi 6 tu mtairudia hiii thread.
Huyo mwamba anakwenda kuwa mkurugenzi wa afya wa WHO AfricaView attachment 3073123View attachment 3073124View attachment 3073125View attachment 3073126
Mwendazake hakuwahi kumpa u-full minister wa Wizara ya afya. Na Rais Samia alimpa mawasiliano kisha akamuacha. Lakini huyu ndiye angeweza kuwa waziri bora sana kwa Wizara ya Afya Tanzania.
Sasa hivi yeye ni candidate kwenye position ya Director of WHO- Africa region. Tumuombee apate. Asipopata basi tumuombe Rais Samia amalize tofauti zake na huyu Mbunge wa Kigamboni.
Kwa namna Wizara ya Afya ilivyo majanga sasa hivi baada ya Ummy kuboronga sioni Jenister Mhagama akifanikisha chochote. Mpeni miezi 6 tu mtairudia hiii thread.
Hongera zake na kwa familia yakeHuyo mwamba anakwenda kuwa mkurugenzi wa afya wa WHO Africa
Tumuombee
Ccm haitakagi akili kubwa na watu wenye experience ndo yale yale ya kumpa wizara ya michezo Mwana FA kumbe anachongumza na kwenye practise haviendani au kashindwa kuvi apply kabaki kuudhuria events tu.View attachment 3073123View attachment 3073124View attachment 3073125View attachment 3073126
Mwendazake hakuwahi kumpa u-full minister wa Wizara ya afya. Na Rais Samia alimpa mawasiliano kisha akamuacha. Lakini huyu ndiye angeweza kuwa waziri bora sana kwa Wizara ya Afya Tanzania.
Sasa hivi yeye ni candidate kwenye position ya Director of WHO- Africa region. Tumuombee apate. Asipopata basi tumuombe Rais Samia amalize tofauti zake na huyu Mbunge wa Kigamboni.
Kwa namna Wizara ya Afya ilivyo majanga sasa hivi baada ya Ummy kuboronga sioni Jenister Mhagama akifanikisha chochote. Mpeni miezi 6 tu mtairudia hiii thread.
Naona unampigia debe kwa nguvu zote kabisa.View attachment 3073123View attachment 3073124View attachment 3073125View attachment 3073126
Mwendazake hakuwahi kumpa u-full minister wa Wizara ya afya. Na Rais Samia alimpa mawasiliano kisha akamuacha. Lakini huyu ndiye angeweza kuwa waziri bora sana kwa Wizara ya Afya Tanzania.
Sasa hivi yeye ni candidate kwenye position ya Director of WHO- Africa region. Tumuombee apate. Asipopata basi tumuombe Rais Samia amalize tofauti zake na huyu Mbunge wa Kigamboni.
Kwa namna Wizara ya Afya ilivyo majanga sasa hivi baada ya Ummy kuboronga sioni Jenister Mhagama akifanikisha chochote. Mpeni miezi 6 tu mtairudia hiii thread.
Hapana Mkuu. Mi kweli namfahamu lakini nimelinganisha namna ambavyo Taifa linahangaika kumuweka Mwalimu Mstaafu (Jenister) kusimamia sekta wakati wataalamu wetu wapo wa kumwaga.Naona unampigia debe kwa nguvu zote kabisa.
Mbn gafla sanaView attachment 3073123View attachment 3073124View attachment 3073125View attachment 3073126
Mwendazake hakuwahi kumpa u-full minister wa Wizara ya afya. Na Rais Samia alimpa mawasiliano kisha akamuacha. Lakini huyu ndiye angeweza kuwa waziri bora sana kwa Wizara ya Afya Tanzania.
Sasa hivi yeye ni candidate kwenye position ya Director of WHO- Africa region. Tumuombee apate. Asipopata basi tumuombe Rais Samia amalize tofauti zake na huyu Mbunge wa Kigamboni.
Kwa namna Wizara ya Afya ilivyo majanga sasa hivi baada ya Ummy kuboronga sioni Jenister Mhagama akifanikisha chochote. Mpeni miezi 6 tu mtairudia hiii thread.
Kumbuka: Katika nchi yoyote ile yenye Utawala wenye itikadi ya Ukomunisti au Ujamaa, Watu wenye elimu (akili) kubwa, wenye uwezo mkubwa kiutendaji au wenye weledi na ubunifu mkubwa huwa wanahesabika kuwa ni Maadui wakubwa zaidi wa Utawala uliopo madarakani.Hapana Mkuu. Mi kweli namfahamu lakini nimelinganisha namna ambavyo Taifa linahangaika kumuweka Mwalimu Wa Mstaafu (Jenister) kusimamia sekta wakati wataalamu wetu wapo wa kumwaga.
Angalia sasa anakwenda kutumikia Bara la Afrika wakati sisi tumemchukulia powa
Kiongozi bora hupimwa kwa matendo yake ya nyuma.View attachment 3073123View attachment 3073124View attachment 3073125View attachment 3073126
Mwendazake hakuwahi kumpa u-full minister wa Wizara ya afya. Na Rais Samia alimpa mawasiliano kisha akamuacha. Lakini huyu ndiye angeweza kuwa waziri bora sana kwa Wizara ya Afya Tanzania.
Sasa hivi yeye ni candidate kwenye position ya Director of WHO- Africa region. Tumuombee apate. Asipopata basi tumuombe Rais Samia amalize tofauti zake na huyu Mbunge wa Kigamboni.
Kwa namna Wizara ya Afya ilivyo majanga sasa hivi baada ya Ummy kuboronga sioni Jenister Mhagama akifanikisha chochote. Mpeni miezi 6 tu mtairudia hiii thread.
Ana bajeti yake mwenyewe? SHida ya hili Taifa ni watu au ni sera za kimavimavi za CCM? hata Yesu akioeaa hio wizara still hakutakuwa na mabadiliko, kunacgi takiwa nu mkoloni mweusi aondoke basiView attachment 3073123View attachment 3073124View attachment 3073125View attachment 3073126
Mwendazake hakuwahi kumpa u-full minister wa Wizara ya afya. Na Rais Samia alimpa mawasiliano kisha akamuacha. Lakini huyu ndiye angeweza kuwa waziri bora sana kwa Wizara ya Afya Tanzania.
Sasa hivi yeye ni candidate kwenye position ya Director of WHO- Africa region. Tumuombee apate. Asipopata basi tumuombe Rais Samia amalize tofauti zake na huyu Mbunge wa Kigamboni.
Kwa namna Wizara ya Afya ilivyo majanga sasa hivi baada ya Ummy kuboronga sioni Jenister Mhagama akifanikisha chochote. Mpeni miezi 6 tu mtairudia hiii thread.
Mbona Ummy alikuwa anaibaUkiwa smart unakua mwiba Kwa mabwanyenye na wezi kupitia wizara hiyo!!
Ndio tatizo kuu!!