Tukubali tukatae, ila anayeiweza Wizara ya Afya ni Dr Faustine Ndugulile tu

Mhusika ni wewe umekuja kujipigia chapuo kijanja humu..sema unafiki wako ndio huwa unakuponza mzee
 
Same to Dr Kigwa Nje Box
 
Sio siri niache unafiki kea elim ya makaratasi kamshinda ila ki uchapa kazi Zero brain ni kichwa zaidi mara buku ya jamaa yako.
Kazi gani abachapa huyo Bashite? Kuua watu na kudhulumu mali zao? Kama ni hiyo sawa anamzidi
 
Mhusika ni wewe umekuja kujipigia chapuo kijanja humu..sema unafiki wako ndio huwa unakuponza mzee
Hapana mimi siyo Ndugulile ila ninamjua, nimeweka tu sifa zake hapo
 
Same to Dr Kigwa Nje Box
Kigwangalla ni tapeli, huwezi kumfananisha na Ndugulile. Ndugulile anazo deliverables. Huyo mwingine ni mtu wa makafara na ufisadi
 
hizi tabia za ubinafsi na uchawa siku zikiondoka tanzania tutapiga hatua kimaendeleao.
 
Mm naona a
Mm naona anetufaa hii wizara ni @dk Dorothy gwajima tu
 
Mh! Hiyo CV inaweza kuwa ndio mwiba kwa hao wateuaji. Kama jamaa ni kichwa na ni dokta kiuhalisia, unahisi anaweza kupewa uwaziri wa afya ili afuate utaalamu zaidi wakati kuna muda mambo yanatakiwa yaende kinyume nyume humu bongo? Hapa hatupo nchi zilizosiriasi zinazotanguliza utaalamu, huku ni siasa.

Kitu kingine, unasema mama amalize tofauti za huyu jamaa. Kwani walishawahi kuwa na tofauti? Iweje mama apitishe jina la huyo bwana kwenda WHO kama wana tofauti?
 
Ndungulile kitaaluma ni daktari, hawa wengine ni wahuni tu. Mfano huyu wa sasa ni F6 failure, hajui hata kirefu cha MRI
 
Lini aliiweza na ilikuwa wapi?
 
Kwenye afya hakuna kama Dorothy Gwajima.

Serikali ya Tanzania ina succession planning nzuri sana which is based on performance appraisal.

Succession planning yao inaweza kukutoa from work floor hadi wizarani.

Dorothy Gwajima ni M.D
Amepanda hadi kuwa mkuu wa hospitali ya wilaya. Sasa upandi tu na kupewa majukumu ya usimamizi wa management bila ya kuwa trained kwenye hiyo nafasi.

Management training ina involve HR planning, operational planning, awareness of health frameworks, finance (most likely auditing, budgeting and monitoring resources), auditing of health self services, supervision (based on health work guidelines) na mambo mengine luluki.

Baada ya kufanya vizuri huko akapandushwa kuwa DMO, RMO hadi kuwa mkurugenzi wa tiba wizarani na naibu katibu mkuu TAMISEMI afyaz

Sasa ili kuelewa how technical she is tafuta ziara zake akiwa naibu katibu mkuu TAMISEMI wakimuongopea akiamua kuwapiga audit ya inventory ya dawa wakisema hazipo wanaishia kuomba msamaha.

Akienda mahabara akiamua kuwapiga audit ye kuchelewesha vipimo na wagonjwa kucheleweshewa tiba (she knows vipimo vinatakiwa kukaaa siku ngapi based on practice kabla ya kufanyiwa analysis).

Anaweza ingia wodini anajua nurses round kila baada ya muda gani wanatakiwa kumuona mgonjwa kuangalia hali yake; heck anajua mpaka size ya godoro ambalo linatakiwa kuwa kwenye kitanda na kama shuka alijabadilishwa.

Shida yetu ni kuongea mambo tusiyoyaelewa usimamizi wake ndio maana wengi wameshindwa kuelewa technically Dorothy Gwajima alikuwa anaonyesha nini given practice regulations.

Dorothy Gwajima sio mzaha mzaha kabisa kwenye afya, yaani hata kidogo. Watanzania atuelewi tu afya inavyosimamiwa, ile yule mama afya ni level nyingine.

Basi tu, lakini Dorothy Gwajima afya ni very very very technical. Ukisikia mtu kapikwa kushika nafasi basi Gwajima ni level nyingine.
 
Safi CV imeshiba inajieleza kwamba jamaa is capable...sasa CV ya mtu unajiuliza ivi uyu ataweza endesha wizara nyeti kama ya afya???ataweza kusoma pagea za policy mbali mbali??
 
Kazi gani abachapa huyo Bashite? Kuua watu na kudhulumu mali zao? Kama ni hiyo sawa anamzidi
Hebu nenda mahakani ukamshitaki maana mwenzetu kumbe mlikua mnaua wote maana km unajua aliua watu na uko kimya na ww ulishiriki.
 
Hebu nenda mahakani ukamshitaki maana mwenzetu kumbe mlikua mnaua wote maana km unajua aliua watu na uko kimya na ww ulishiriki.
Ndugu ngosha wa mwanza unayo elimu kidogo kuhusu sheria au umeandika kwa kuwa ulihitimu la Saba B? Kwenye jinai parties ni Republic ndiyo plaintiff na individual ndiyo defendant. Hakuna yeyote mwenye capacity ya kufungua shtaka la jinai dhidi ya Makonda mpaka kwa ruksa ya DPP
 
Unamuongelea huyu aliyekua anafanya maigizo ya dawa ya COVID? Taaluma pale ilitumikaje?
 
Nakuunga mia mia Dorothy gwajima ndio anafaa kukaa pale sijui kwa nn mamlaka ya uteuzi inamuacha
 
Unamuongelea huyu aliyekua anafanya maigizo ya dawa ya COVID? Taaluma pale ilitumikaje?
Dr Gwajima alifeli sana kwenye COVID-19 na namna asivyowaheshimu madaktari wenzie kwenye vyombo vya habari. Yaani kuropoka cc Mayor Quimby
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…