Tukubali tukatae, ila anayeiweza Wizara ya Afya ni Dr Faustine Ndugulile tu

Tayari kapata kazi kama WHO DIRECTOR wa Africa
 
Yule mwanamama ambaye Anakwapua macho kama kaingiwa na mchanga alikuwa anapuyanga tu.

Kaingiwa huyu f6 failure analeta matamko ya kizuzu, eti mgonjwa ahudumiwe ndani ya masaa 3. Hajui kuwa kwenye tiba kuna procedures nyingine huwa zinatumia masaa 8.
 
Wapii watu kwa kujisifia uongo.

Taarifa zake tunazo ila tunamsitiri tu.
 
Wapii watu kwa kujisifia uongo.

Taarifa zake tunazo ila tunamsitiri tu.
Una taarifa gani wewe? Mwenzio amekuwa boss wa Afya kwa bara zima la Afrika. Taarifa hiyo inakusaidia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…