900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
MAZA aliwakosea sana chadema na watanzania maza ni msaliti kawasaliti watanzania,katiba ambayo yeye aliwahi kuwa makamu mwenyekiti na kuhakikisha linapatikana leo anageuka kisa yupo kwenye kiti cha ulaji cha mfalmeAmeingia madarakani tukiwa na hali mbaya sana. Maana tulikuwa tumevunjiliwa mbali na Ccm yao.
Tukapewa ruhusa ili tufanye mikutano ya kidigital ili alau hata kidogo kuwe na nguvu ya upinzani. Badala yake ni kutulia nafasi hii vibaya. Kumletea dharau na kumtishia.
Sasa ameonyesha ukuu wa mamlaka ya urais kila kamanda amenuna. This is shamefulness.