4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Sawa kindakindaki uliechangamkaKamanda acha kujichetua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kindakindaki uliechangamkaKamanda acha kujichetua.
Una ujinga mkubwa!Ameingia madarakani tukiwa na hali mbaya sana. Maana tulikuwa tumevunjiliwa mbali na CCM yao.
Tukapewa ruhusa ili tufanye mikutano ya kidigital ili walau hata kidogo kuwe na nguvu ya upinzani. Badala yake ni kutumia nafasi hii vibaya. Kumletea dharau na kumtishia
Sasa ameonyesha ukuu wa mamlaka ya urais kila kamanda amenuna.
This is shamefulness.
Rais Samia Suluhu baada ya kuchukua madaraka mwelekeo wake kisiasa ulikuwa unapunguza nguvu za CHADEMA kisiasa. Kina Mbowe na Tundu Lissu wakaona huu ndio mwisho wao wa kisiasa ikabidi waanzishe hili suala la Katiba na maandamano. Kwa kifupi CHADEMA ni chama kinaendeshwa na wahuni sio wanasiasa lazima serikali iwe na msimamo mkali na chama hiki kwa Amani na Umoja wa Taifa hiliAmeingia madarakani tukiwa na hali mbaya sana. Maana tulikuwa tumevunjiliwa mbali na CCM yao.
Tukapewa ruhusa ili tufanye mikutano ya kidigital ili walau hata kidogo kuwe na nguvu ya upinzani. Badala yake ni kutumia nafasi hii vibaya. Kumletea dharau na kumtishia
Sasa ameonyesha ukuu wa mamlaka ya urais kila kamanda amenuna.
This is shamefulness.
Ameingia madarakani tukiwa na hali mbaya sana. Maana tulikuwa tumevunjiliwa mbali na CCM yao.
Tukapewa ruhusa ili tufanye mikutano ya kidigital ili walau hata kidogo kuwe na nguvu ya upinzani. Badala yake ni kutumia nafasi hii vibaya. Kumletea dharau na kumtishia
Sasa ameonyesha ukuu wa mamlaka ya urais kila kamanda amenuna.
This is shamefulness.
Tunahitaji tusome zaidi. Kwa kuanzia, google vitabu vya mtandaoni kwa kuingiza: 'political philosophy'.Ameingia madarakani tukiwa na hali mbaya sana. Maana tulikuwa tumevunjiliwa mbali na CCM yao.