Tukubali ukweli, CHADEMA tumemkosea Rais Samia

MAZA aliwakosea sana chadema na watanzania maza ni msaliti kawasaliti watanzania,katiba ambayo yeye aliwahi kuwa makamu mwenyekiti na kuhakikisha linapatikana leo anageuka kisa yupo kwenye kiti cha ulaji cha mfalme
 
nchi hii haijawahi kuwa na hali nzuri hata siku moja tukiwa chini ya ccm
 
ukapewa ruhusa ili tufanye mikutano ya kidigital ili alau hata kidogo kuwe na nguvu ya upinzani. Badala yake ni kutulia nafasi hii vibaya. Kumletea dharau na kumtishia.
Una akili fupi kupindukia.Unaelewa kuwa nchi huwa inaongozwa kwa mujibu wa katiba na sheria na wala siyo kwa matamko ya mtu?Rais anatoa ruhusa ya mikutano ya kisiasa kwani yeye amekuwa katiba na sheria?

Hivi inawezekana vipi mtu mwenye akili fupi kama wewe unafungua uzi?Kama unajijua kuwa ni mjinga si ukae pembeni ili kuficha ujinga wako?Ujinga siku hizi umekuwa ni fashion hadi mnapigana vikumbo kuja kuuonyesha waziwazi huku JF?

Halafu sad enough makanjanja kama ninyi ndiyo mmejaa kila mahali hapa JF kitu ambacho kinasababisha watu werevu kukimbilia kwenye social network nyingine kama vile Twitter na kumnyima Melo mapato.
 
Wewe Una BANGE siyo bure. Uliona wapi mpinzani wako akawa wa kukupangia ni lini uanze kujiimarisha ?!. Mama afanye kazi zake za u Rais . Hakuna anayemzuia na aviache vyama vifanye kazi yao ya kujiimarisha .

Mbaazi zikikosa maua husingizia jua. Ccm maendeleo kukwama wasisimgiziwe Cdm na harakati zao za katiba mpya.
 
Kamanda unajifanya hujui nini kilifanyika ili Chadema yetu ipumue?
 
huna akili
 
Umetumwa au uliagizwa?
Una uhakika na unacho kinena?
Endelea kutumika lkn wanaoteuliwa ni watoto wa viongozi Mkeka wa wakurugenzi
mbona reaction yako ipo mbali hvo.
hana nia mbaya ametoa maoni yake ili mjadala uchukue nafas.

Ni kamanda mwenzio, heshimu wazo lake.

Maneno kama''umetumwa'' mara sijui nini ni kukoswa ustaarabu.
 
Wewe ndiye chadema unayefikiri kwa kutumia kichwa cha kibinadamu hata mimi ni chadema pia tumemkosea sana mama yetu kwa kijivimbisha kichwa na kupima kina cha bahari kwa kidole gumba, Tanzania tumepata rais muelewa sana ni baraka ya kipekee sana na tunatoa shukrani kwa muumba wetu sasa tusimkosee utii na heshima, laana ya mama ni mbaya sana
 
Kiongozi yafaa awe na ngozi nene kama kiboko ngozi nyepesi kama ya kitimoto uongozi haukufai utaishia kuchuma tu dhambi.
 
Kindakindaki BWANA ,eti chadema ilikua imevunjiliwa mbali,? Chama kilichovunjiliwa mbali unajiangaisha na nini, kukimbia na maboksi ya kura?

Chama kilichovunjiliwa mbali why msiwajibu KWa hoja ,kuliko kulialia kwenye vyombo vya dola,mpaka leo police wapo wanaangaika kamata wanachama wa Chadema kwenye mikutano ya ndani

Chama kilichovunjiliwa mbali why kuangaika na kiongozi wao KWa kumpa kesi za Kigaidi,

Huwezi ongonza vizuri nchi vizuri Kama nchi husika HAINA UTULIVU wa kisiasa, SSH anatakiwa kuwajibu Wapinzani wake KWa kutekeleza na kuyafanya wanayoyaimba ,na sifa zitaenda kwake ,ila hili la kutumia mabavu , atakua mtu wa uzuni tu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…