Tukubali waamuzi wa Tanzania ni janga la taifa lile goli walilofunga pamba lilikuwa na tatizo gani?

Sasa refa alipuliza kwa faulo ipi iliyochezwa? Kitendo cha yeye kupuliza kuwa ni faulo ndicho kilichoinyima pamba bao lake halali, je faulo ilitoka wapi pale?
 
Mkuu kwenye mechi ya leo hakuna goli la pamba lililokataliwa bali pamba walifunga baada ya filimbi kupulizwa, hapo ilibidi uulize kwanini filimbi ilipulizwa wakati hakuna faulo iliyotendeka, ukishapuliza filimbi tu mchezo unakuwa umesimama.

Lilifungwa baada ya filimbi kupigwa au baada ya gori kufungwa?
Majibu please.
All the best
Filimbi ilipigwa kwa faulo ipi iliyotokea pale?
 
Kwani uchaguzi serekali za mitaa kwanini wapinzani wameenguliwa !.
 
Filimbi ilipulizwa kabla ya Goli...ndio Tatizo la kuangalizia Mpira Vibanda umiza
 
Bado unalia au umenyamaza wewe chura?
 
Kwani ile penati aliyonyimwa Kibu siku ya Simba na Yanga ilikuwa na tatizo gani?
 
Umeongea fact mkuu
 
Unafikiri ni kwa nini hawachaguliwi kuchezesha mechi za Kimataifa? Ni kwa sababu most of them are corrupt and incompetent.
 
Una akili sana mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…