- Thread starter
- #21
Sasa refa alipuliza kwa faulo ipi iliyochezwa? Kitendo cha yeye kupuliza kuwa ni faulo ndicho kilichoinyima pamba bao lake halali, je faulo ilitoka wapi pale?Kuweka mambo sawa, sio kwamba goli lilikataliwa, kabla ya hilo unaloita goli kufungwa, tayari refa alipuliza filimbi ya faulo dhidi ya golikipa wa Simba, hivyo tukio lolote baada ya filimbi ya refa linakuwa invalid... Shida tu ni kwenye ile faulo, hakukuonekana kuwa na faulo pale.