Tukubaliane: Chama sio mchezaji wa mechi kubwa

Kweni Kama yanga no feisal no Morrison yanga 1½ semi final
 
Ronaldo, Kaka na Ramos walikosa penati dhidi ya Bayan nusu fainali Champions league 2012 mpaka Morinho akalia
At least perfomance zao za ndaninya dakika 90.
 
Penati hazina ufundi mkuu, hata Messi na Ronaldo wamekosa sana.

Simba wametoka kiume, hatua ya penalties ni bahati nasibu, msianze kushikana uchawi huko msimbazi.

Hongereni watani, mmejitahidi
Kiume!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…