Tukubaliane: Chama sio mchezaji wa mechi kubwa

Tukubaliane: Chama sio mchezaji wa mechi kubwa

Siku tukifikia muafaka kuwa Chama sio mchezaji wa mechi ndipo Simba tutatoboa Nusu fainali michuano ya CAF.

HUYU JAMAA NI MCHEZAJI WA KU-SHINE dhidi ya Ihefu FC na Ruvu Shooting.

Yaani inakuwaje Pro Player unakosa penati katika decisive stage kama ile.

Ipo siku Simba tutashiriki nusu fainali, lakini katika hiko kikosi hapatakuwa na CHAMA.
View attachment 2603162
Kweni Kama yanga no feisal no Morrison yanga 1½ semi final
 
Ronaldo, Kaka na Ramos walikosa penati dhidi ya Bayan nusu fainali Champions league 2012 mpaka Morinho akalia
At least perfomance zao za ndaninya dakika 90.
 
Penati hazina ufundi mkuu, hata Messi na Ronaldo wamekosa sana.

Simba wametoka kiume, hatua ya penalties ni bahati nasibu, msianze kushikana uchawi huko msimbazi.

Hongereni watani, mmejitahidi
Kiume!
 
Back
Top Bottom