Hoja yako ina msingi, ndugu. Noise pollution ni tatizo ambalo mara nyingi tunalichukulia kama jambo dogo, wakati linaweza kuathiri utulivu na haki ya watu wengine kutumia mazingira yao kwa amani.Kwa tafsiri isiyo rasmi kwa Kiswahili inafahamika kama Uchafuzi wa kelele. Uchafuzi huu wa kelele vyanzo vyake vikuu ni:
1. Milio ya honi na sauti zisizo za kawaida za vyombo vya moto hususani magari, pikipiki, nk.
2. Sauti zitokanazo na vipaza sauti vilivyo simikwa juu ya nyumba za ibada. Sauti hizi huambatana na mafundisho/mahuburi/maombi nk ambayo kwa mtu asiyehusika nayo hugeuka kuwa kelele.
3. Sauti ya juu ya muziki unaopigwa kwenye baadhi ya nyumba za ibada usiku kucha. Kwa watu ambao hawafungamani na imani husika, muziki huo kwao ni kelele.
4. Sauti za muziki kutoka kwenye kumbi za starehe au bar ambazo zipo jirani kabisa na makazi ya watu. Sauti ya muziki huo kwa watu wasio husika, ni kelele na kero kubwa.
5. Upasuaji wa miamba mikubwa kwa kutumia baruti, nk.
Nini kifanyike?
1. Mamlaka husika (Serikali na NEMC) wachukue hatua madhubuti kudhibiti hii hali kwa sababu inasababisha baadhi ya watu kukosa usingizi nyakati za usiku na alfajiri kupatwa na msongo wa mawazo, kukosa utulivu, nk.
2. Wasababisha Noise Pollution (sijawataja kwa majina/taasisi zao) wote wanatakiwa kubadilika. Dunia ya leo ni tofauti na ile ya zamani. Ninawaomba muheshimu haki zetu za msingi. Na mkumbuke ibada/starehe/burudani zenu kwa watu wengine ni kero! Ni bughudha! Ni kelele!
Mna uwezo wa kutumia njia mbadala kupunguza hizi kelele! mfano kutumia sound proof kwenye majengo yenu ya starehe na ibada. Mnaweza kutumia alarm badala ya vipaza sauti, nk.
Electric cars ndio solution,wenye mpango wa kununua magari wafikirie magari ya umeme sasaKwa tafsiri isiyo rasmi kwa Kiswahili inafahamika kama Uchafuzi wa kelele. Uchafuzi huu wa kelele vyanzo vyake vikuu ni:
1. Milio ya honi na sauti zisizo za kawaida za vyombo vya moto hususani magari, pikipiki, nk.
2. Sauti zitokanazo na vipaza sauti vilivyo simikwa juu ya nyumba za ibada. Sauti hizi huambatana na mafundisho/mahuburi/maombi nk ambayo kwa mtu asiyehusika nayo hugeuka kuwa kelele.
3. Sauti ya juu ya muziki unaopigwa kwenye baadhi ya nyumba za ibada usiku kucha. Kwa watu ambao hawafungamani na imani husika, muziki huo kwao ni kelele.
4. Sauti za muziki kutoka kwenye kumbi za starehe au bar ambazo zipo jirani kabisa na makazi ya watu. Sauti ya muziki huo kwa watu wasio husika, ni kelele na kero kubwa.
5. Upasuaji wa miamba mikubwa kwa kutumia baruti, nk.
Nini kifanyike?
1. Mamlaka husika (Serikali na NEMC) wachukue hatua madhubuti kudhibiti hii hali kwa sababu inasababisha baadhi ya watu kukosa usingizi nyakati za usiku na alfajiri kupatwa na msongo wa mawazo, kukosa utulivu, nk.
2. Wasababisha Noise Pollution (sijawataja kwa majina/taasisi zao) wote wanatakiwa kubadilika. Dunia ya leo ni tofauti na ile ya zamani. Ninawaomba muheshimu haki zetu za msingi. Na mkumbuke ibada/starehe/burudani zenu kwa watu wengine ni kero! Ni bughudha! Ni kelele!
Mna uwezo wa kutumia njia mbadala kupunguza hizi kelele! mfano kutumia sound proof kwenye majengo yenu ya starehe na ibada. Mnaweza kutumia alarm badala ya vipaza sauti, nk.
Nenda Temeke, karume, Kariakoo, mbagala, Tandika, G'mboto na Mbezi ukirudi Nyumbani Ngoma ya sikio ikiwa nzima nite Mbwa🤣🤣🤣Kwa tafsiri isiyo rasmi kwa Kiswahili inafahamika kama Uchafuzi wa kelele. Uchafuzi huu wa kelele vyanzo vyake vikuu ni:
1. Milio ya honi na sauti zisizo za kawaida za vyombo vya moto hususani magari, pikipiki, nk.
2. Sauti zitokanazo na vipaza sauti vilivyo simikwa juu ya nyumba za ibada. Sauti hizi huambatana na mafundisho/mahuburi/maombi nk ambayo kwa mtu asiyehusika nayo hugeuka kuwa kelele.
3. Sauti ya juu ya muziki unaopigwa kwenye baadhi ya nyumba za ibada usiku kucha. Kwa watu ambao hawafungamani na imani husika, muziki huo kwao ni kelele.
4. Sauti za muziki kutoka kwenye kumbi za starehe au bar ambazo zipo jirani kabisa na makazi ya watu. Sauti ya muziki huo kwa watu wasio husika, ni kelele na kero kubwa.
5. Upasuaji wa miamba mikubwa kwa kutumia baruti, nk.
Nini kifanyike?
1. Mamlaka husika (Serikali na NEMC) wachukue hatua madhubuti kudhibiti hii hali kwa sababu inasababisha baadhi ya watu kukosa usingizi nyakati za usiku na alfajiri kupatwa na msongo wa mawazo, kukosa utulivu, nk.
2. Wasababisha Noise Pollution (sijawataja kwa majina/taasisi zao) wote wanatakiwa kubadilika. Dunia ya leo ni tofauti na ile ya zamani. Ninawaomba muheshimu haki zetu za msingi. Na mkumbuke ibada/starehe/burudani zenu kwa watu wengine ni kero! Ni bughudha! Ni kelele!
Mna uwezo wa kutumia njia mbadala kupunguza hizi kelele! mfano kutumia sound proof kwenye majengo yenu ya starehe na ibada. Mnaweza kutumia alarm badala ya vipaza sauti, nk.
Hujataja majina ya taasisi ila hizi za dini nadhani ndio kero zaidi.Kwa tafsiri isiyo rasmi kwa Kiswahili inafahamika kama Uchafuzi wa kelele. Uchafuzi huu wa kelele vyanzo vyake vikuu ni:
1. Milio ya honi na sauti zisizo za kawaida za vyombo vya moto hususani magari, pikipiki, nk.
2. Sauti zitokanazo na vipaza sauti vilivyo simikwa juu ya nyumba za ibada. Sauti hizi huambatana na mafundisho/mahuburi/maombi nk ambayo kwa mtu asiyehusika nayo hugeuka kuwa kelele.
3. Sauti ya juu ya muziki unaopigwa kwenye baadhi ya nyumba za ibada usiku kucha. Kwa watu ambao hawafungamani na imani husika, muziki huo kwao ni kelele.
4. Sauti za muziki kutoka kwenye kumbi za starehe au bar ambazo zipo jirani kabisa na makazi ya watu. Sauti ya muziki huo kwa watu wasio husika, ni kelele na kero kubwa.
5. Upasuaji wa miamba mikubwa kwa kutumia baruti, nk.
Nini kifanyike?
1. Mamlaka husika (Serikali na NEMC) wachukue hatua madhubuti kudhibiti hii hali kwa sababu inasababisha baadhi ya watu kukosa usingizi nyakati za usiku na alfajiri kupatwa na msongo wa mawazo, kukosa utulivu, nk.
2. Wasababisha Noise Pollution (sijawataja kwa majina/taasisi zao) wote wanatakiwa kubadilika. Dunia ya leo ni tofauti na ile ya zamani. Ninawaomba muheshimu haki zetu za msingi. Na mkumbuke ibada/starehe/burudani zenu kwa watu wengine ni kero! Ni bughudha! Ni kelele!
Mna uwezo wa kutumia njia mbadala kupunguza hizi kelele! mfano kutumia sound proof kwenye majengo yenu ya starehe na ibada. Mnaweza kutumia alarm badala ya vipaza sauti, nk.
Binafsi nina uadui mkubwa na noise pollution ya aina yoyote ile. Kwa kweli napenda sana kuishi mazingira tulivu.Hawafanyi kitu hawa maana unakuta hata matangazo yao ya mikutano au hata mwenge
Speaker kubwa kama Land Rover halafu sehemu zingine wanapita mpaka saa tatu za usiku
Kwa hiyo suala hili wao wenyewe wanalitila mkazo sijui kwanini kelele ndio sifa yetu moja Waafrika?
Nenda nchi nyingi Africa ni kelele tu
Angalia usafiri pia yale yale
Mimi pia MkuuBinafsi nina uadui mkubwa na noise pollution ya aina yoyote ile. Kwa kweli napenda sana kuishi mazingira tulivu.
110% mdau!Kwa tafsiri isiyo rasmi kwa Kiswahili inafahamika kama Uchafuzi wa kelele. Uchafuzi huu wa kelele vyanzo vyake vikuu ni:
1. Milio ya honi na sauti zisizo za kawaida za vyombo vya moto hususani magari, pikipiki, nk.
2. Sauti zitokanazo na vipaza sauti vilivyo simikwa juu ya nyumba za ibada. Sauti hizi huambatana na mafundisho/mahuburi/maombi nk ambayo kwa mtu asiyehusika nayo hugeuka kuwa kelele.
3. Sauti ya juu ya muziki unaopigwa kwenye baadhi ya nyumba za ibada usiku kucha. Kwa watu ambao hawafungamani na imani husika, muziki huo kwao ni kelele.
4. Sauti za muziki kutoka kwenye kumbi za starehe au bar ambazo zipo jirani kabisa na makazi ya watu. Sauti ya muziki huo kwa watu wasio husika, ni kelele na kero kubwa.
5. Upasuaji wa miamba mikubwa kwa kutumia baruti, nk.
Nini kifanyike?
1. Mamlaka husika (Serikali na NEMC) wachukue hatua madhubuti kudhibiti hii hali kwa sababu inasababisha baadhi ya watu kukosa usingizi nyakati za usiku na alfajiri kupatwa na msongo wa mawazo, kukosa utulivu, nk.
2. Wasababisha Noise Pollution (sijawataja kwa majina/taasisi zao) wote wanatakiwa kubadilika. Dunia ya leo ni tofauti na ile ya zamani. Ninawaomba muheshimu haki zetu za msingi. Na mkumbuke ibada/starehe/burudani zenu kwa watu wengine ni kero! Ni bughudha! Ni kelele!
Mna uwezo wa kutumia njia mbadala kupunguza hizi kelele! mfano kutumia sound proof kwenye majengo yenu ya starehe na ibada. Mnaweza kutumia alarm badala ya vipaza sauti, nk.
6. Vijana washabikiaji Magari na Malumbano ya timu za mpira: Vijana huwa manapiga miluzi mikali likipita gari fulani esp. Mabasi ya abiria huku wengine hukusanyika na kubishana kwa sauti kubwa kuzijua Timu za mapira na visababishi vya matokeo ya mchezo uliopita. Makelele sauti kubwa hizo huambatana/huchanganyika na lugha ya matusi bila kujali watu waliopo mahali hapo.Kwa tafsiri isiyo rasmi kwa Kiswahili inafahamika kama Uchafuzi wa kelele. Uchafuzi huu wa kelele vyanzo vyake vikuu ni: