Tukubaliane ndugu zangu Noise Pollution ni tatizo sugu ndani ya nchi yetu.

Milio ya honi na sauti zisizo za kawaida za vyombo vya moto hususani magari, pikipiki, nk.
Bodaboda zimewekwa honi/ving'ora fulani vinakera sana. Sasa kama unaishi kwenye nyumba iko kwenye kona utakoma na hizo honi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…