Tukumbuke kisa hiki cha msanii Noorah na Fiesta

yeah ni kenya na siyo uganda nimekumbuka asante kwa kunisahihisha mkuu hapo nilisahau kidogo....

yes mbezi beach ndio palikuwa kwao...ila oysterbay alikuwa anakaaga pia kwa relatives na hapo noorah alikuwa anafikaga maana mahusiano yao yalikuwa yanajulikana na huyo ndugu yao

tatizo hyo siku alikuwa anajulikana hayupo tz ndiomaana alikuwa anagoma kwenda
 
Sawa kabisa. Nakumbuka dem alipanda basi kutoka Nairobi na wazazi walikuwa hawana taarifa. Baada ya ile ajali, Sandra alipelekwa hospitali japo Mzee wake aligoma kwenda kumuona lakini nadhani baadaye alienda.

Kuna umri ambao Vijana huwa hawawasikilizi wazazi wao, lakini mwisho wake huwa ni mbaya sana.
 
wanasemaga ujana maji ya moto...

hasa mabinti wakiwa kwenye ule umri wa mihemko huwa wanafanya mambo ya ajabu sana kwa ajili tu ya wapenzi wao
 
ilikuwa show ya nini?
FUNGUKA
 
asante mzee muanzisha thread atakuwa kwa sasa anachungulia tu, hili ndio tatizo la kuwa na data kidogo
Anakataa ilikuwa sio Fiesta...ila anakubali dem alikuja kuangalia perfomance....
Jiulize ilikuwa show gani mwaka 2005 iliyosababisha mtu akatoka nje ya nchi....tena alitoroka shule...
Zakuambiwa changanya na zako.

SIKU zote
Ukweli sana + Uongo kidogo =UONGO MKUBWA
 
VIJANA wamjengoni wanataka kupotosha haikuwa Fiesta....
Sijui kwanini huu ukweli huwa mchungu
 
Bonge 1 la "point" ambalo halina neno "less" mbele yake. Safi sana
 
Huyo demu nae alitoka na hali gani kwenye hiyo ajali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…