Tukumbuke kisa hiki cha msanii Noorah na Fiesta

Anakataa ilikuwa sio Fiesta...ila anakubali dem alikuja kuangalia perfomance....
Jiulize ilikuwa show gani mwaka 2005 iliyosababisha mtu akatoka nje ya nchi....tena alitoroka shule...
Zakuambiwa changanya na zako.

SIKU zote
Ukweli sana + Uongo kidogo =UONGO MKUBWA
umesoma ulichokiandika lakini? kwenye uzi wako

hivi mtu umetoka kazini ukaendelea na mambo yako na ukapata ajali na gari binafsi ukiwa na mpenz wako

bado utasema ulipata ajali ukiwa kazini? au hyo kazi ndio ilikufanya upate ajali

nilichoweka hapo ni mkasa wa ajali ulivyokuwa maana wewe ulikuwa unataka kupotosha watu eti alipata ajali akiwa kazini kitu ambacho si kweli

ajali yake haikuwa na uhusiano hata kidogo na show ya fiesta...

pombe na mwendokasi plus sandra ndio vilikuwa sababu ya ajali

huwezi sema alipata ajali kazini
 
SIKUMBUKI KAMA AJALI YA NOORAH ILIKUWA NA UHUSIANO NA FIESTA

NOORAH hakupata ajali akiwa kazini alipata ajali akiwa na demu wake (sandra)

nakumbuka gari ilikuwa rav 4 huyo demu wa noorah alikuwa anasoma Kenya na alikuja tanzania bila kwao kujua

lengo lilikuwa kumuona bwana ake akiperfom sasa baada ya noorah kumaliza show yake wakawa wanarudi wote wamelewa na wako speed ulitokea ubishani

maana noorah alikuwa anataka kumrudisha yule demu kwao(oysterbay) na yule demu hataki kurudi kwao maana nyumban kwao walikuwa wanajua yupo shule Kenya

katika mabishano huku gari ikiwa speed yule demu aliisukuma gear kwenye parking

kana ujuavyo gari za zaman hazikuwa na sensor za kutema gear ya packin gari inapokuwa speed kali basi ilifanya tairi zote nne kufunga ghafla na gari ilibingirita mara nane

noorah hakufunga mkanda alitupwa nje ya gari na akapata ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu alikuwa anamkumbuka huyo demu tu...

na siyo kwamba alijipeleka hospital noorah alitoka eneo la ajali akiwa hajitambui kabisa alikuja kupata fahama akiwa hospital

alikaa sana muhimbili hadi alipokuja kupona na kuendelea na mziki pamoja na masomo (IFM)

hawa jamaa fiesta wana mapungufu yao ila sometimes mnazidisha kuwaonea
Yeah man huu mkasa Noorah mwenyewe aliuelezea kwenye show ya Showbiz defined ya Witness yule bonge wa WAKILISHA nashangaa jamaa anatulisha tango pori kisa chuki kwa Clouds
 
JF usipoangalia, kuna siku utakuta mtu usomjua anasimulia historia yako tena kwa usahihi kabisa.,! 😂
hahahaahha achana na JF ingia kwenye siasa, niliwahi tangaza nia kugombea udiwani hahahahaha jamaa walinipa stori zangu nyingine nyeti kabisa nyingine porojo nilidata nkaachana nayo
 
umesoma ulichokiandika lakini? kwenye uzi wako

hivi mtu umetoka kazini ukaendelea na mambo yako na ukapata ajali na gari binafsi ukiwa na mpenz wako

bado utasema ulipata ajali ukiwa kazini? au hyo kazi ndio ilikufanya upate ajali

nilichoweka hapo ni mkasa wa ajali ulivyokuwa maana wewe ulikuwa unataka kupotosha watu eti alipata ajali akiwa kazini kitu ambacho si kweli

ajali yake haikuwa na uhusiano hata kidogo na show ya fiesta...

pombe na mwendokasi plus sandra ndio vilikuwa sababu ya ajali

huwezi sema alipata ajali kazini
Nachojua jamaa alikuwa kazin.Nakazi Yake ilikuwa kutumbuiza Jukwaa la fiesta...
Mambo mengine usipotoshe umma...
 
Yeah man huu mkasa Noorah mwenyewe aliuelezea kwenye show ya Showbiz defined ya Witness yule bonge wa WAKILISHA nashangaa jamaa anatulisha tango pori kisa chuki kwa Clouds
Ipo siku atafunguka
 
Yeah man huu mkasa Noorah mwenyewe aliuelezea kwenye show ya Showbiz defined ya Witness yule bonge wa WAKILISHA nashangaa jamaa anatulisha tango pori kisa chuki kwa Clouds
Ipo siku ataeleza ukweli wote
 
Nachojua jamaa alikuwa kazin.Nakazi Yake ilikuwa kutumbuiza Jukwaa la fiesta...
Mambo mengine usipotoshe umma...
acha zako wewe watu tunaijua ile ajali kama wewe uliambiwa basi wenzako hadi eneo la tukio tulifika na sandra aliyesababisha ile ajali tunamjua ...

mtu kapata ajali na gari binafsi akiwa anamrudisha sandra kwao alafu ww unaingizaje mambo ya fiesta... leo uongo wako umebuma kadanganye wasiojua ukweli
 
NAJUA unatetea ugali....
Hongera
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Tuseme labda ni kweli alipata ajali kwenye fiesta, hata angepata ajali akiwa jukwaani anaperform kama hiyo ajali haikusababishwa na uandaaji mbovu wa tamasha au uzembe kwenye kuandaa jukwaa bado tusingeliwalaumu clouds.

Mtoa mada umeunganisha vitu vingi sana kisheria ambavyo ni tofauti. Mtoa mada unaunganisha insurance na social security kwenye kapu moja wakati hivi ni vitu tofauti.

Umeongelea bima (insurance), hii mtu binafsi anajikatia bima kwamba akipata risk fulani kampuni ya bima (insurer) wamlipe na huwa inalipiwa premium kila baada ya muda Fulani, sijui ulitaka huyo msanii akate bima kwa janga gani ulemavu au ajali? Je alikuwa na bima? Je ni kazi ya clouds kuwakatia bima wasanii?

Unazungumzungumzia NSSF hiyo tayari ni social security, mwajiriwa anakatwa pesa zake kila mwezi ili akistaafu apate mafao yake, na akipata ulemavu anapewa fao la ulemavu. Pia siku hizi social security laws zipo wazi mtu yeyote anaruhusiwa kujiunga na mifuko ya hifadhi za jamii hata kama haujaajiriwa umejiajiri kwenye kilimo au muziki unarihusiwa kujiunga ambapo unakokotolewa kiwango kutokana na kipato chako unakuwa unacontribute kila mwezi.

Tukirudi kwenye hoja je ulitaka huyo msanii alipwe na nssf? Je alikuwa memba? Je ni kazi ya clouds kumuunganisha kwenye mfuko?

Swala lingine lililokuchanganya ni aina ya mikataba ya wasanii kuperform, unatakiwa ujue kuwa kuna contract of service na contract for service sheria za wafanyakazi zinawalinda watu walio kwenye contract of service kama labda mchomvu au Dozen angepata hiyo ajali akiwa kazini angelipwa na mwajiri halafu siku hizi kuna mfuko unaitwa Workers Compensation Fund (WCF) ulioanzishwa chini ya OSHA ambao ndiyo kazi yake, waajiri wote wanacontribute kwenye huo mfuko.
Msanii anapoitwa kwenye show hapewi contract of service anapewa contract for service, analipwa kwa kazi yake akishaperform akalipwa mkataba kwisha, kiufupi wanaitwa independent contractors.

Sioni popote ambapo waandaaji wa fiesta walikuwa na wajibu kwa huyo msanii wako na hata wangemsaidia ingekuwa hisani sawa na kumchangia ombaomba barabarani.
 
hahahaahha achana na JF ingia kwenye siasa, niliwahi tangaza nia kugombea udiwani hahahahaha jamaa walinipa stori zangu nyingine nyeti kabisa nyingine porojo nilidata nkaachana nayo
Hahahaha, Pole Mkuu ukakuta watu wanakujua kuliko unavyojijua!!
 
Naombeni mnambie Noorah Alipata ajali wapi?
Nakwanini hili tukio lilifumbwa?
 
Noorah hakupata ajali kazini mzee au labda kama alikuja kupata ajali nyingine baadae...ninayoikumbuka alikuwa anatoka zake batani na mashorty...tena shorty moja alifariki
 
Labda unazungumzia ajali nyingine
 
Ni Contract of service na Contract for service.

Sio contract of employment na contract of service.

Soma Section 51 ya Labour Court Act
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Tuseme labda ni kweli alipata ajali kwenye fiesta, hata angepata ajali akiwa jukwaani anaperform kama hiyo ajali haikusababishwa na uandaaji mbovu wa tamasha au uzembe kwenye kuandaa jukwaa bado tusingeliwalaumu clouds.

Mtoa mada umeunganisha vitu vingi sana kisheria ambavyo ni tofauti. Mtoa mada unaunganisha insurance na social security kwenye kapu moja wakati hivi ni vitu tofauti.

Umeongelea bima (insurance), hii mtu binafsi anajikatia bima kwamba akipata risk fulani kampuni ya bima (insurer) wamlipe na huwa inalipiwa premium kila baada ya muda Fulani, sijui ulitaka huyo msanii akate bima kwa janga gani ulemavu au ajali? Je alikuwa na bima? Je ni kazi ya clouds kuwakatia bima wasanii?

Unazungumzungumzia NSSF hiyo tayari ni social security, mwajiriwa anakatwa pesa zake kila mwezi ili akistaafu apate mafao yake, na akipata ulemavu anapewa fao la ulemavu. Pia siku hizi social security laws zipo wazi mtu yeyote anaruhusiwa kujiunga na mifuko ya hifadhi za jamii hata kama haujaajiriwa umejiajiri kwenye kilimo au muziki unarihusiwa kujiunga ambapo unakokotolewa kiwango kutokana na kipato chako unakuwa unacontribute kila mwezi.

Tukirudi kwenye hoja je ulitaka huyo msanii alipwe na nssf? Je alikuwa memba? Je ni kazi ya clouds kumuunganisha kwenye mfuko?

Swala lingine lililokuchanganya ni aina ya mikataba ya wasanii kuperform, unatakiwa ujue kuwa kuna contract of service na contract of employment sheria za wafanyakazi zinawalinda watu walio kwenye contract of employment kama labda mchomvu au Dozen angepata hiyo ajali akiwa kazini angelipwa na mwajiri halafu siku hizi kuna mfuko unaitwa OSHA ambao ndiyo kazi yake, waajiri wote wanacontribute kwenye huo mfuko.
Msanii anapoitwa kwenye show hapewi contract of employment anapewa contract of service, analipwa kwa kazi yake akishaperform akalipwa mkataba kwisha, kiufupi wanaitwa independent contractors.

Back
Top Bottom