Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu kaka yupo kwani?
Wanapandikiza UONGO kwenye vichwa vya wasiotafuta ukweliNaona watu wanalazimisha uongo kuwa ukweli ili kutimiza ule msemo wa “ukitaka kumwua mbwa mbatize kwanza jina baya”
Sababu ni ajali aliyopataYupo shinyanga, mwaka jana kama sio mwaka juzi, jamaa alifiwa na mke wake wa ndoa,but still hadi sasa anapotezaga sana memories
Hahahhaaaaa wewe kweli kichwani zimo fasta akili ika think K.. za osterbay kuwa hazivuji kila mwezi. Fatsa kuwa kama zinavja basi lazima huwa wana spare K wanabadili. Yaani Fasta fasta . Nyie ndio wakuwapa UdC kichwa kiko fasta hususani mambo ya K hukawii kuja na hoja ya viwanda vya KAiseeeee Jamaa alikuwa anakula MADEMU wa OYSTERBAY 😳😳😳😳.
Naona watu wanalazimisha uongo kuwa ukweli ili kutimiza ule msemo wa “ukitaka kumwua mbwa mbatize kwanza jina baya”
Wanapandikiza UONGO kwenye vichwa vya wasiotafuta ukweli
Inaelekea wewe jamaa mtu wa ligiUmegundua ulikurupuka kuchangia kwa kuandika usichojua
huyo jamaa ni shida.... yani hata hajishtukii kwenye huu uzi watu kibao wanajuana na sandra ringo demu wa noorah aliyepata naye ajali na wanamuelezea jinsi ajali ilivyotokea yeye anabisha tuInaelekea wewe jamaa mtu wa ligi
SIKUMBUKI KAMA AJALI YA NOORAH ILIKUWA NA UHUSIANO NA FIESTA
NOORAH hakupata ajali akiwa kazini alipata ajali akiwa na demu wake (sandra)
nakumbuka gari ilikuwa rav 4 huyo demu wa noorah alikuwa anasoma Kenya na alikuja tanzania bila kwao kujua
lengo lilikuwa kumuona bwana ake akiperfom sasa baada ya noorah kumaliza show yake wakawa wanarudi wote wamelewa na wako speed ulitokea ubishani
maana noorah alikuwa anataka kumrudisha yule demu kwao(oysterbay) na yule demu hataki kurudi kwao maana nyumban kwao walikuwa wanajua yupo shule Kenya
katika mabishano huku gari ikiwa speed yule demu aliisukuma gear kwenye parking
kana ujuavyo gari za zaman hazikuwa na sensor za kutema gear ya packin gari inapokuwa speed kali basi ilifanya tairi zote nne kufunga ghafla na gari ilibingirita mara nane
noorah hakufunga mkanda alitupwa nje ya gari na akapata ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu alikuwa anamkumbuka huyo demu tu...
na siyo kwamba alijipeleka hospital noorah alitoka eneo la ajali akiwa hajitambui kabisa alikuja kupata fahama akiwa hospital
alikaa sana muhimbili hadi alipokuja kupona na kuendelea na mziki pamoja na masomo (IFM)
hawa jamaa fiesta wana mapungufu yao ila sometimes mnazidisha kuwaonea
Inamaana Unapingana na Muhusika...yani kweli wewe akili fupi 😂😂😂 unasapoti hyo msg ya juu na umeshindwa kuelewa kuwa inakupinga wewe 😂😂😂😂
ngoja basi nikutafsirie alichomaanisha
amemaanisha kuwa kwasababu huyo fiesta mnataka kumuuwa kwahyo kika baya mnambambikia yeye ili hata mkifanikisha kumuuwa kuwe hakuna lawama
wewe jamaa uko na akili ndogo sana kama uongo unaolazimsha watu wauamini 😂😂😂
Tatizo unasikiliza watu...kuna watu wanasema kuwa eti mleta mada ni babu tale 😂😂😂😂
WEWE hizo Habari za Sandra anzisha Uzi wako.Mimi najuana na Noorah naemwongelea hapa....huyo jamaa ni shida.... yani hata hajishtukii kwenye huu uzi watu kibao wanajuana na sandra ringo demu wa noorah aliyepata naye ajali na wanamuelezea jinsi ajali ilivyotokea yeye anabisha tu
pointi ni kwamba alipata ajali kazini au lah.... haijalishi alikuwa ametoka kufanya show ya nani au show ganiInamaana Unapingana na Muhusika...
Chanzo changu ni Muhusika wewe umehadithiwa...
MBONA hutaki kusema ilikuwa show ya nini?
Ilifanyika wap?
Msipende kuwa mawakala wa Shetani.....
sijasikiliza mtu nimeandika ukweli ninaoujua ambao ndio ukweli halisi na karibia asilimia 99.99 ya watu humu wameusapoti huo ukweli niliondikaTatizo unasikiliza watu...
Hao watu ndio wanakwambia sema hivi...nia na madhumuni yenu nikupotosha Uma na kuficha maovu kwakutetea Matumbo yenu
MBONA UNARUKA RUKA KAMA CHURA MALAYA.....?pointi ni kwamba alipata ajali kazini au lah.... haijalishi alikuwa ametoka kufanya show ya nani au show gani
tunachojadili ni nature ya ajali mzee baba mbona unakuwa hutaki kuelewa
unataka kusema alipata ajali akiwa kwenye tour bus ya fiesta hell NO..
alipata ajali akiwa na rav 4 akiwa anamrudisha sandra kwao
Ha ha kama mzazi wako yaniJF usipoangalia, kuna siku utakuta mtu usomjua anasimulia historia yako tena kwa usahihi kabisa.,! [emoji23]
Wewe jamaa Muongo sana. Baba Stylz hakupata ajali kipindi cha fiesta. Ninachojua alipata ajali pale mbuyuni Oysterbay akiwa anatokea Bilicanas. Na sababu ya ajali yalikuwa mabishano yake na mpenzi wake. Mpenzi wake alikuwa anataka waende maisha club huku noorah akitaka waende nyumbani. Kilichotokea yule dada akaweka gear kwenye "P" galfa, gari walokuwa wanatumia ilikuwa auto. Wakapata ajali na akakimbizwa Muhimbili. Baada ya kuzinduka akawa anakumbuka wimbo mmoja tu wa Hawa Mademu Vipi. Akapewa mida wa kupumzika ili akili ikae sawa. Kipindi hicho alikuwa anakaa Makumbusho. Kutokana na kuumwa akahamia kule kwa Ali Maua jirani na akina Roy producer.NOORAH Kitandani…..FIESTA Uwanjani!!
Japo muda kidogo umepita tangu utokee huu mkasa lakini sio mbaya tukikumbushana hii kitu. Jinale halisi ni Haji Nurah Ngarama almaarufu kama ‘Noorah’ au Baba Stylz.
Mwaka 2005 Noorah mwanachemba Squad alipata bahati ya kushiriki kwenye tamasha la Fiesta. Sasa akiwa katika hiyo Tour ya Fiesta alipata ajali mbaya sana,angalau kwa kipindi hicho ajali haikutangazwa sana kama kulivyotangazwa kufana kwa show hizo.
Noorah alipata ajali akiwa kazini. Baada ya kwenda hospital daktari akasema hatakiwi tena sio tu kufanya show bali hata kufanya kazi yoyote ngumu. Hapo ndipo mtihani kwa MwanaChemba huyu ulipoanzia.
Noorah akaona hapana, sasa ntaishije aisee? Akaamua kujivuta hadi muhimbili kwa uchunguzi zaidi ndipo ndipo ilipogundulika kuwa ajali ile imesababisha sehemu ya fuvu la kichwa chake kupata ufa.
Daktari wa hospitali ya Taifa Muhimbili akashauri kwamba sio tu kutofanya kazi ngumu bali mgonjwa huyo anatakiwa apumzike kabisa. Hakuwa na namna Noorah akapumzika na kuwa baba wa nyumbani.
Noorah akapumzika lakini show za Fiesta ziliendelea na zingalipo zinaendelea mpaka leo, kwao yaliyotokea kwa Noorah ni kama ajali kazini tu. Hapo kwenye ajali kazini ndipo hasa kwenye mzizi wa matatizo. Kwanini ajali kazini kwa wasanii hazina bima? Mikataba karibia yote ya wasanii haizungumzii wasanii watafidiwaje wakipata ajali ya kupelekea ulemavu/ugonjwa/kufariki wakiwa kazini. Mikataba mingi haitambui show kama nazo ni kazi iwe ya muda mfupi au mrefu. Kuburudisha kunachukuliwa juu juu tu.
Katika wimbo NSSF Mbeleni wimbo unaopatikana katika mixtape za Anti Virus, Mapacha walizungumzia hii kitu. Nini mustakabali wa msanii katika maisha yake ya baadae? Hii sio kwa Noorah tu bali wengi wanakutana na changamoto kama hizi wakiwa kwenye mikataba ya kazi.
Noorah alikaa nyumbani mpaka alipoona sasa inatosha,akaamka na kwenda shule pale IFM na baadae akarejea tena kwenye muziki ingawaje haikuwa kama zile zama akiwa katika ubora wake.
Na Iddy Mwanaharam
Nasiku zote ukweli unamaadui wengi kuliko rafiki....sijasikiliza mtu nimeandika ukweli ninaoujua ambao ndio ukweli halisi na karibia asilimia 99.99 ya watu humu wameusapoti huo ukweli niliondika
asilimia 0.01 iliyobaki ni wewe
Oy BabuTale niaje, umeadimika aisee nilikustua juzi pale Nangwanda ukanipoteaNOORAH Kitandani…..FIESTA Uwanjani!!
Japo muda kidogo umepita tangu utokee huu mkasa lakini sio mbaya tukikumbushana hii kitu. Jinale halisi ni Haji Nurah Ngarama almaarufu kama ‘Noorah’ au Baba Stylz.
Mwaka 2005 Noorah mwanachemba Squad alipata bahati ya kushiriki kwenye tamasha la Fiesta. Sasa akiwa katika hiyo Tour ya Fiesta alipata ajali mbaya sana,angalau kwa kipindi hicho ajali haikutangazwa sana kama kulivyotangazwa kufana kwa show hizo.
Noorah alipata ajali akiwa kazini. Baada ya kwenda hospital daktari akasema hatakiwi tena sio tu kufanya show bali hata kufanya kazi yoyote ngumu. Hapo ndipo mtihani kwa MwanaChemba huyu ulipoanzia.
Noorah akaona hapana, sasa ntaishije aisee? Akaamua kujivuta hadi muhimbili kwa uchunguzi zaidi ndipo ndipo ilipogundulika kuwa ajali ile imesababisha sehemu ya fuvu la kichwa chake kupata ufa.
Daktari wa hospitali ya Taifa Muhimbili akashauri kwamba sio tu kutofanya kazi ngumu bali mgonjwa huyo anatakiwa apumzike kabisa. Hakuwa na namna Noorah akapumzika na kuwa baba wa nyumbani.
Noorah akapumzika lakini show za Fiesta ziliendelea na zingalipo zinaendelea mpaka leo, kwao yaliyotokea kwa Noorah ni kama ajali kazini tu. Hapo kwenye ajali kazini ndipo hasa kwenye mzizi wa matatizo. Kwanini ajali kazini kwa wasanii hazina bima? Mikataba karibia yote ya wasanii haizungumzii wasanii watafidiwaje wakipata ajali ya kupelekea ulemavu/ugonjwa/kufariki wakiwa kazini. Mikataba mingi haitambui show kama nazo ni kazi iwe ya muda mfupi au mrefu. Kuburudisha kunachukuliwa juu juu tu.
Katika wimbo NSSF Mbeleni wimbo unaopatikana katika mixtape za Anti Virus, Mapacha walizungumzia hii kitu. Nini mustakabali wa msanii katika maisha yake ya baadae? Hii sio kwa Noorah tu bali wengi wanakutana na changamoto kama hizi wakiwa kwenye mikataba ya kazi.
Noorah alikaa nyumbani mpaka alipoona sasa inatosha,akaamka na kwenda shule pale IFM na baadae akarejea tena kwenye muziki ingawaje haikuwa kama zile zama akiwa katika ubora wake.
Na Iddy Mwanaharam
Duu!!!!😨😨😨mnazidi kuitana....nyie watu....mmedhamiriaWewe jamaa Muongo sana. Baba Stylz hakupata ajali kipindi cha fiesta. Ninachojua alipata ajali pale mbuyuni Oysterbay akiwa anatokea Bilicanas. Na sababu ya ajali yalikuwa mabishano yake na mpenzi wake. Mpenzi wake alikuwa anataka waende maisha club huku noorah akitaka waende nyumbani. Kilichotokea yule dada akaweka gear kwenye "P" galfa, gari walokuwa wanatumia ilikuwa auto. Wakapata ajali na akakimbizwa Muhimbili. Baada ya kuzinduka akawa anakumbuka wimbo mmoja tu wa Hawa Mademu Vipi. Akapewa mida wa kupumzika ili akili ikae sawa. Kipindi hicho alikuwa anakaa Makumbusho. Kutokana na kuumwa akahamia kule kwa Ali Maua jirani na akina Roy producer.
Kwanza umedanganya haikuwa Fiesta kipindi hicho bali ilikuwa inaitwa Straight Music Klimax full shangwe. Wadhamini waki wa sigara ya SM.
Noorah hakuwa kwenye orodha ya wasanii hata Mr Nice hakuwepo. Aliyekuwa kwenye orodha kwa upande wa bongo fleva ni Albert Mangwea ‘Cow Boy’, Joh Makini ‘Mwamba wa Kaskazini’, Mr.Blue ‘Kabaizer’ Prof Jizey na maswahiba wawili AY na Mwana FA.