Tukumbuke kisa hiki cha msanii Noorah na Fiesta

Tukumbuke kisa hiki cha msanii Noorah na Fiesta

Nimeanzisha Uzi huu mmejaa kujifanya mnamjua Sandra sijui....

Alikuwa anasoma Kenya Mara ya kwanza umeandika. ...

Mara Uganda sijui.....

HaMtaki kusema ilikuwa show ya nini,wap na kwanini. ...

Mmeanza kumdharirisha alikuwa kalewa. ...katolosha mwanafunzi....

Namambo mengine ili Malik aendelee kuumia
Wewe jamaa Muongo sana. Baba Stylz hakupata ajali kipindi cha fiesta. Ninachojua alipata ajali pale mbuyuni Oysterbay akiwa anatokea Bilicanas. Na sababu ya ajali yalikuwa mabishano yake na mpenzi wake.

Kwanza umedanganya haikuwa Fiesta kipindi hicho bali ilikuwa inaitwa Straight Music Klimax full shangwe. Wadhamini waki wa sigara ya SM.

Noorah hakuwa kwenye orodha ya wasanii hata Mr Nice hakuwepo. Aliyekuwa kwenye orodha kwa upande wa bongo fleva ni Albert Mangwea ‘Cow Boy’, Joh Makini ‘Mwamba wa Kaskazini’, Mr.Blue ‘Kabaizer’ Prof Jizey na maswahiba wawili AY na Mwana FA.

ulishajibiwa na huyu hapa unataka ujibiwe nini tena
 
ajali alipatia mbuyuni akiwa na private car alafu oanisha na maneno ya mleta mada ni vitu viwili tofauti kabisa
Yaani umeona comment imetaja mbuyuni kesho utasema ulikuwepo eneo la tukio...Halafu Fanya utafiti ...usipende kutumika ndugu yangu.
 
acha zako wewe watu tunaijua ile ajali kama wewe uliambiwa basi wenzako hadi eneo la tukio tulifika na sandra aliyesababisha ile ajali tunamjua ...

mtu kapata ajali na gari binafsi akiwa anamrudisha sandra kwao alafu ww unaingizaje mambo ya fiesta... leo uongo wako umebuma kadanganye wasiojua ukweli
Mkuu vipi mahusiano yàoa baada ya ajali ? Waliachana au
 
huu ndio ukweli nilioandika tangu jana na jamaa anabisha hadi leo

sandra alikuwa hataki kupelekwa kwao sababu kwao walikuwa wanajua yupo shule kenya kumbe yeye katoroka kaja kula bata bongo..

bora na nyie mnaoujua ukweli mnisaidie maana jamaa kakomaa tangu jana

wewe umesaidia sana maana umeandika hadi ni show gani alikuwa ametoka kufanya
Oyaaaa muacheni babu Tale mazee
 
Yaani umeona comment imetaja mbuyuni kesho utasema ulikuwepo eneo la tukio...Halafu Fanya utafiti ...usipende kutumika ndugu yangu.
mimi na wewe nani anatumika 😂😂

wewe umecopy habari fake kutoka kwa mamluki wenzako umekuja kupaste hapa

ila ukasahau kufuta pale mwisho palipoandikwa na iddy mwanaharamu maana inaonekana huyo ndio aliandika hii habari
 
  • Thanks
Reactions: amu
Hahahhaaaaa wewe kweli kichwani zimo fasta akili ika think K.. za osterbay kuwa hazivuji kila mwezi. Fatsa kuwa kama zinavja basi lazima huwa wana spare K wanabadili. Yaani Fasta fasta . Nyie ndio wakuwapa UdC kichwa kiko fasta hususani mambo ya K hukawii kuja na hoja ya viwanda vya K
Hata Kitu ni K ,Hata Kiwanda ni K 😀😀😀😀😀😀😀😀.
 
mimi na wewe nani anatumika 😂😂

wewe umecopy habari fake kutoka kwa mamluki wenzako umekuja kupaste hapa

ila ukasahau kufuta pale mwisho palipoandikwa na iddy mwanaharamu maana inaonekana huyo ndio aliandika hii habari
Yaaap.....Iddy Mwanaharam jina la mwandishi....muda wote ulikuwa hujajua kaandika nan?
 
Yaaap.....Iddy Mwanaharam jina la mwandishi....muda wote ulikuwa hujajua kaandika nan?
Mkuu mbona unaruka hili swali naona hutaki kabisa kulijibu..mengine unayaona but ukifika kwenye hili swali hulioni....wadau wanaomba uwaeleze ajali ilitokea katika mazingira yapi??Nini kilikuwa chanzo cha ajali na wakati ajali inatokea nani na nani walikwepo kwenye hiyo gari iliyopata ajali...mkuu ukijibu ilo swali tunafunga uzi sasa hivi
 
hawezi kujibu hilo swali katika yale maelezo yangu page no1 nimeandika kila kitu jinsi ajali ilivyotokea na watu waliokuwepo yeye anabisha tu
 
Back
Top Bottom